Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu atembelewa na Viongozi wa ACT Wazalendo makao makuu ya Chama

Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu atembelewa na Viongozi wa ACT Wazalendo makao makuu ya Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatari sana uzi kama huu una page 1 inatakiwa ionyeshe tumefika wapi na siasa za upinzani
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa (kulia) na Katibu Mkuu Ado Shaibu. Pamoja na mambo mengine, wameongelea hali ya kisiasa nchini.

Lissu vipi tena mnyampaa ni uwenyekiti tu unakufanya unywee/unyooke fasta hivyo?

NB: Kazi ipo kila siku lakini siyo uhai
 
Back
Top Bottom