Mwenyekiti wa CHADEMA Tarime, Martin Maranja akamatwa na Polisi usiku wa manane. Sababu za kukamatwa hazijaelezwa

Mwenyekiti wa CHADEMA Tarime, Martin Maranja akamatwa na Polisi usiku wa manane. Sababu za kukamatwa hazijaelezwa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi

#FreeMartinMaranja
IMG_20200604_125532.jpg
 
Maandalizi ya uchaguzi.juzi nilimwona Igp Mara anawapiga mkwara wapinzani
 
🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi

#FreeMartinMaranja

Huyu jamaa huko chadema ana vyeo vingapi, kila mwanahabari anaripoti kivyake.

martin.jpg
 
Hao mashetani wameanza tena kudhulumu haki ya kuishi.
 
Sawa, sheria ichukue mkondo wake au ana immunity ya kukamatwa?
 
Back
Top Bottom