Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

Nimestuka maana taarifa zimeanza kuzagaa mwamba kakata, sasa ni mhimu tukamuona aisee.
 
Yupo brussels anatumbua matumbura
 
Kweli huyu mwamba yupo wapi au ndio anaendeleza hekma katika maombolezo ya hayati.
 
Muulize Lissu si anadai kujua mambo ya nchini kuliko hata waliopo nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…