Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
- Thread starter
- #61
Hadi Sasa hujaeleza yupo wapi?Ila itachukua muda maana walisha lemazwa kwa kulishwa kama makinda ya ndege.
Hadi Sasa hujaeleza yupo wapi?Ila itachukua muda maana walisha lemazwa kwa kulishwa kama makinda ya ndege.
Unauliza mwenyekiti wa ccm au chama gani?Yupo wapi?
Mwenyekiti wa ccm au?Hadi Sasa hujaeleza yupo wapi?
Wa pale ufipaMwenyekiti wa ccm au?
Twambie wa chama chakavu yupo wapiWa pale ufipa
Mama Samia?Twambie wa chama chakavu yupo wapi
Swal dogo unaulizwa unashindwa jibu..hiv ingekua necta si kwishney.....Yule mwenyekiti mpendwa wa chama fulani Corona imempenda zaidi!
Mungu Amponye mwenyekiti wetu wa kudumu. Pipooooooziiiiiii !!!Dubai anaumwa
Mungu Amponye mwenyekiti wetu wa kudumu. Pipooooooziiiiiii !!!
View attachment 1739094
Pumbaf lini mmefanya kikao cha kumchagua?Mama Samia?
Umenikumbusha bwana yule wakati yupo NjombeUnataka mwenyekiti muone anazulula kama chizi buguruni sokoni na Kariakoo? Grow up boy, Chama sio mitandaoni, mwenyekiti yupo chimbo akiandaa mikakati ya kichama na namna ya kuchukua dola 2025.
Ninachojua mwenyekiti wa ccm ni mwendazakeHadi Sasa hujaeleza yupo wapi?
Na ni mwaka wa nuksi kwa MATAGA wa lumumba maana hawana pa kushika sasa.Ama kweli mwaka huu 2021 ni wa kufa na kufaana
Kwakuwa wewe uwezo wako wa kufikiri na kuamua huna.Swal dogo unaulizwa unashindwa jibu..hiv ingekua necta si kwishney.....
Acha masihara, mwenyekiti yupo wapi?Kwakuwa wewe uwezo wako wa kufikiri na kuamua huna.
Yuko kwenye matibabu .Nimewaza nikaona niulize hili swali kwa kuwa ni muda mrefu sijamuona hadharani mwenyekiti wa CHADEMA.
Nina marafiki wa karibu huko, lakini hakuna aliyetoa jibu wengi wananambia sio kazi yako kujua.
Lakini niseme wazi ninamkubali Sana mbowe kwenye busara na hekima, hata Kama Jambo ni baya kiasi gani anaweza kuliamua kwa hekima kubwa sanaa au akalimaliza kimyakimya bila kuleta madhara kwa watu.
Kama kukushughulikia basi atafanya kwa weledi mkubwa, kwa hapo namkubali sana. Ana chunga Sana ulimi wake.
Ila upo kimya sana, Kuna mambo mengi ya kuongea hapa maana siasa bila kashikashi hazinogi kabisa.
Pamoja.