Leo issue kubwa ni ufisadi wa kutisha kufanywa na kada wa ccmSubiri matusi badala ya majibu.
Leo wako busy wanajadili VP ambao kwa maneno yao ya Jan na Feb 2021 ni marehemu.
Duuuuuhhhhhh....anawauzia Tanesco sasa?????Yupo Dubai ana umeme wa megawatt 20,000.
Wote hawana tofauti maana hiyo ndiyo kazi inawaingizia mkate wao wa kila sikuNa wewe umeanza tabia za kufuatilia watu wasio kuhusu kama mwenzako johnthebaptist ?
Mbona humuulizii lowasa?Ni muda sijamsikia
Kakoko ni kada mtiifu wa ccmMwenyekiti madeni yamekuwa Mengi mpaka amekwenda kujificha Zenji.
CHEMSHA BONGO - PROF "J"
Halafu korona Wala sio ugonjwa wa aibu.Ingekua wa sisiemu haonekani bavicha wangesema ana korona...
Kakoko anatishaAnaumwa nini? Na kwa nini unafanywa Siri? Naomba majibu
Eti eehHalafu korona Wala sio ugonjwa wa aibu.
Ila waliokua wanasema hakuna korona imewafagiilia mbali.
Wanngeshikilia bango hao, wajifunze sasaIngekua wa sisiemu haonekani bavicha wangesema ana korona...
YesKwani masuala makubwa kwa leo si ya Kakoko?
Ndio kina Mmawia walivyoWanngeshikilia bango hao, wajifunze sasa
Lowassa ni mwenyekiti wa chama gani? Au kwa sababu aliwakimbia?Mbona humuulizii lowasa?
Ushahidi?Halafu korona Wala sio ugonjwa wa aibu.
Ila waliokua wanasema hakuna korona imewafagiilia mbali.
Wewe jamaa bana.Leo issue kubwa ni ufisadi wa kutisha kufanywa na kada wa ccm
Pole na msiba mkuu, shoka moja mbuyu chani kwa kasi ya kimbunga, ila kama vp fresh tu.Subiri matusi badala ya majibu.
Leo wako busy wanajadili VP ambao kwa maneno yao ya Jan na Feb 2021 ni marehemu.
Utaukubali?Ushahidi?