Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Nimewaza nikaona niulize hili swali kwa kuwa ni muda mrefu sijamuona hadharani mwenyekiti wa CHADEMA.
Nina marafiki wa karibu huko, lakini hakuna aliyetoa jibu wengi wananambia sio kazi yako kujua.
Lakini niseme wazi ninamkubali Sana Mbowe kwenye busara na hekima, hata Kama Jambo ni baya kiasi gani anaweza kuliamua kwa hekima kubwa sanaa au akalimaliza kimyakimya bila kuleta madhara kwa watu.
Kama kukushughulikia basi atafanya kwa weledi mkubwa, kwa hapo namkubali sana. Ana chunga Sana ulimi wake.
Ila upo kimya sana, Kuna mambo mengi ya kuongea hapa maana siasa bila kashikashi hazinogi kabisa.
Pamoja.