UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Nitaukubali maana ni ushahidi.Utaukubali?
Nitaukubali maana ni ushahidi.Utaukubali?
Labda wamekwambia weweWewe jamaa bana.
Takukuru wamesema mnamzushia uongo tu.
Jamaa kakutwa na pesa ya mshahara.
Ushamkata mainiPole na msiba mkuu, shoka moja mbuyu chani kwa kasi ya kimbunga, ila kama vp fresh tu.
Ni mwana ccmLowassa ni mwenyekiti wa chama gani? Au kwa sababu aliwakimbia?
KweeeeriiiiiiiiWapinzani walituchelewesha sana au nasema uongo ndugu zangu?
Kwani wewe unazungumzia mwenyekiti wa ccm?Lowassa ni mwenyekiti wa chama gani? Au kwa sababu aliwakimbia?
Sisi kama Watanzania ambao kodi zetu zinakipa chama chake ruzuku, tunayo haki ya kujua Mwenyekiti yuko wapiAfya ya mtu ni siri
🖕🖕🖕Yule mmeo Faru John?
Yule mwenyekiti mpendwa wa chama fulani Corona imempenda zaidi!Mwenyekiti mbowe...kawasusa kabisaa..kaona hamna mana
Dola ya kizalendo
Hizi ndio busara zenyewe sasa!!Sio kwamba Mbowe ana busara sana. Anafahamu wabongo wengi hawako tayari na hawewezi kufurukuta dhidi ya dola babe hivyo anaenda nao mdogo mdogo tu.
Hawa watoto walizoeshwa tabia za ajabu ajabu naamini wataacha tu taratibu watastaarabikaUshamkata maini
Ila itachukua muda maana walisha lemazwa kwa kulishwa kama makinda ya ndege.Hawa watoto walizoeshwa tabia za ajabu ajabu naamini wataacha tu taratibu watastaarabika
Wanngeshikilia bango hao, wajifunze sasa
Yupo wapi?Unataka mwenyekiti muone anazulula kama chizi buguruni sokoni na Kariakoo? Grow up boy, Chama sio mitandaoni, mwenyekiti yupo chimbo akiandaa mikakati ya kichama na namna ya kuchukua dola 2025.