JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kwa vipi !.Kachukue form upingane na Mama uone utakavyopopolewa mawe mchana kweupe.Kitaasisi CCM imeviacha mbali vyama vya upinzani
Kachukue fomu ya kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi halafu urudi tena kutueleza maneno hayo.Kitaasisi CCM imeviacha mbali vyama vya upinzani
Kashindane na bi Kizimkazi uone kama nyumba yako haijageuka ofisi ya kitengo na polisi.Kitaasisi CCM imeviacha mbali vyama vya upinzani
Huu ni ukweli mchunguKitaasisi CCM imeviacha mbali vyama vya upinzani
Acha kuropoka. CCM Ina wenyewe.Kitaasisi CCM imeviacha mbali vyama vya upinzani
Labda Taasisi ya UchawaKitaasisi CCM imeviacha mbali vyama vya upinzani
MAMBO YA ZITTO HAYO MZEE WANGU WALIUTUMIA UMAARUFU WAKO WAMEKUCHOKAMwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti ACT – Wazalendo na kumuunga mkono makamu wake, Othman Masoud Othman.
Babu Duni amejiondoa kutetea nafasi hiyo aliyokuwa akihudumu kabla ya muda wake kuisha leo Jumatatu Machi 4, 2024, ikiwa imesalia siku moja kabla ya Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo utakaowachagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Kabla ya hatua hiyo, umekuwepo mchuano mkali baina ya wawili hao, huku Babu Duni akilalamikia hujuma za watu waliokuwa wanamshinikiza ajiondoea kwa kuwa ni mzee na kitendo cha wenyeviti wa mikoa kumchukulia fomu mshindani wake.
Ccm inadola huwezi kushindanisha. Ktk mfumo wetu ni ngumu mpinzani kushindaKitaasisi CCM imeviacha mbali vyama vya upinzani
Ni CCM tupuSiasa za viini macho na ACT 😂😂😂
Bongo bahati mbayaMwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti ACT – Wazalendo na kumuunga mkono makamu wake, Othman Masoud Othman.
Babu Duni amejiondoa kutetea nafasi hiyo aliyokuwa akihudumu kabla ya muda wake kuisha leo Jumatatu Machi 4, 2024, ikiwa imesalia siku moja kabla ya Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo utakaowachagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Kabla ya hatua hiyo, umekuwepo mchuano mkali baina ya wawili hao, huku Babu Duni akilalamikia hujuma za watu waliokuwa wanamshinikiza ajiondoea kwa kuwa ni mzee na kitendo cha wenyeviti wa mikoa kumchukulia fomu mshindani wake.
Itakuwa Babu Duni kishawekwa sawa na Hussen Mwinyi ama bi Kizimkazi.Faza anarudi chama mama CCM hana wiki 2