Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Masafa Marefu Tanzania, Hassan Dede amemshukuru Rais Samia kufanikisha kuwaokoa Madereva 43

Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Masafa Marefu Tanzania, Hassan Dede amemshukuru Rais Samia kufanikisha kuwaokoa Madereva 43

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa masafa marefu Tanzania, Hassan Dede amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha kuwaokoa Madereva 43 waliokuwa wamekwama katika Mji wa Goma Nchini D.R Congo

Inaelezwa kuwa mpango wa kuwarejesha nchini madereva hao umeshafanyika na wanatarajiwa kuwasili nchini ndani ya siku chache zijazo.

Kumbe samia alienda congo kuokoa watu na hamsemi
 
Inaelezwa kuwa mpango wa kuwarejesha nchini madereva hao umeshafanyika na wanatarajiwa kuwasili nchini ndani ya siku chache zijazo.
Rais amehusikaje?
Mbona hatujamsikia akiwasaidia wanaotekwa hapa nchini amewezaje kwa hao wa mbali?
 
Back
Top Bottom