Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania wilaya ya Rombo auawa kikatili

Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania wilaya ya Rombo auawa kikatili

So Sad kwa mwalimu akiwahi kazini kwenda kufundisha watoto wetu.
Huenda alikuwa ndie mwalimu wa zamu lkn ndio hivyo tena hatunae.
Mungu ampumzishe mahala salama.
Aaaaaamin
Mwalimu Mkuu huwa anashika zamu?
 
Mwalimu mkuu huwa hashiki zamu, pia huwa hawafundishi sikuizi. Japo kawaida inatakiwa awe na vipindi vya kufundisha.
Walimu wakuu wa secondari ndio hawafundishi Hadi atake yeye ila msingi wanafundisha na ni lazima awe na vipindi japo vichache tofauti na walimu wa kawaida.
 
Wangeichukua tu hiyo piki piki..kuliko.kumuua .. ..

Binadamu hawana utu..wameumiza wengi Sana kwa kumuua huyo mwalimu.. ..

Apumzike kwa amani..

Pole kwa familia!
 
Apumzike kwa amani T.Hizza, nilimfahamu kipindi flani hivi, alikuwa mtu poa sana..
Kifo chake nimekipokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa[emoji22].
Waliomfanyia huo unyama, hakika wataionja shubiri.
 
Na ukute waliomuua watoto wao walifundishwa na huyo mwalimu.

Pole mwalimu,
 
Back
Top Bottom