So Sad kwa mwalimu akiwahi kazini kwenda kufundisha watoto wetu.
Huenda alikuwa ndie mwalimu wa zamu lkn ndio hivyo tena hatunae.
Mungu ampumzishe mahala salama.
Aaaaaamin
Walimu wakuu wa secondari ndio hawafundishi Hadi atake yeye ila msingi wanafundisha na ni lazima awe na vipindi japo vichache tofauti na walimu wa kawaida.
Apumzike kwa amani T.Hizza, nilimfahamu kipindi flani hivi, alikuwa mtu poa sana..
Kifo chake nimekipokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa[emoji22].
Waliomfanyia huo unyama, hakika wataionja shubiri.