Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa akutana tena na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa akutana tena na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo

Screenshot_2024-07-06-01-00-26-1.png


Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
 
Watu wa nje wakikutana na watu wa Chadema ni story ila wakikutana na watu wa ccm sio story 😂
 
Back
Top Bottom