Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwani bado wapo CHADEMA? taja mambo matatu tu ambayo UWT mmefanya mwaka huu yanagusa wananchi na siyo chawa wenzenu kama anavyofanya Malisa anachangisha watu wanatibiwa, wanaenda shule hata waliokata tamaa wanapata tabasamu.Huku UWT tuna mambo makubwa tayari, sio kama nyie wanaume wazima kukimbizana na wanawake 19 na bado mmewashindwa