Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa akutana tena na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa akutana tena na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo

View attachment 3034617

Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
Upumbav mtupu hao US wanaeza kutuaribia nchi wakafadhili vijana machafuko yakaanza ,maana kama vijana wenyewe ndio kina sativa
Nashauri serikali iwafatilia kwa kina hao
 
Nna uhakika asilimia 100 ,kwa nchi za Africa China walau tunafaidika nae kwenye biashara na miundombinu ..Nk
Lakin hao us hata bizaa zao kwetu hazina soko kubwa wala kwenye miundombinu ndio kabisa hatuko naoo
Una uhakika na unayoandika ?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo

View attachment 3034617

Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
hii inakupotezea uaminifu kwa vitu vingine utakavyoandika
Sugu alitumbuiza kwenye hafla ya ubalozi wa marekani, watu tuliona
sasa kusalimiana na balozi kwenye hiyo hafla ndo uite wamektana kwa mazungumzo?
 
Back
Top Bottom