Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Haya huku CCM na mchina,,, twende kaziTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
View attachment 3034617
Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
Balozi ni Mwakilishi tu, kama ni kudaiwa basi labda anadaiwa na Nchi ya MarekaniMmh! Huyu sugu kuna kitu anadaiwa na huyu balozi. Siyo kwa ziara hizo.!!
Balozi anataka kolabo!Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
View attachment 3034617
Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
Jamaa ni akili kubwa sn huwezi kuona amekutana na Balozi wa kutoka nchi za AfricaHuyu jamaa anahusiano gani na huyu balozi ?
Jamaa ni big brain haswaUkisikia moto chini kwelii motochini kanda ya nyasa kazikwenu mana sugu atawatafutia soko sana kimataifa watu wahuko na wanachadema
Siyo huyu tu ni mabalozi wote wa Nchi kubwa, ila siyo mabalozi wa nchi za kiafricaHuyu jamaa anahusiano gani na huyu balozi ?
HakikaJamaa ni akili kubwa sn huwezi kuona amekutana na Balozi wa kutoka nchi za Africa
Jamaa ameji-brand vizuri sn na wazungu wanataka watu wenye akili pekee na siyo chawaHakika
Chadema bhana πJamaa ameji-brand vizuri sn na wazungu wanataka watu wenye akili pekee na siyo chawa
πππMwamba ana network kubwa haswa, huwezi kuona Kinana amekutana na Balozi wa Marekani yeye ni wachina na waraabu ajili ya kuwauzia pembe
Kweli tupuπππ
Hata nyie UWT hamjachelewa mnaweza kufanya mambo makubwa na wazungu wakawa marafiki zenu badala ya kuegemea wachina na waarabu matapeli tupu na wala rushwa.Chadema bhana π
Huku UWT tuna mambo makubwa tayari, sio kama nyie wanaume wazima kukimbizana na wanawake 19 na bado mmewashindwaHata nyie UWT hamjachelewa mnaweza kufanya mambo makubwa na wazungu wakawa marafiki zenu badala ya kuegemea wachina na waarabu matapeli tupu na wala rushwa.