Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwani bado wapo CHADEMA? taja mambo matatu tu ambayo UWT mmefanya mwaka huu yanagusa wananchi na siyo chawa wenzenu kama anavyofanya Malisa anachangisha watu wanatibiwa, wanaenda shule hata waliokata tamaa wanapata tabasamu.Huku UWT tuna mambo makubwa tayari, sio kama nyie wanaume wazima kukimbizana na wanawake 19 na bado mmewashindwa
Huyo mjinga nilishamu ignore kitambo sana, ana mambo ya kijinga sana!Kwani bado wapo CHADEMA? taja mambo matatu tu ambayo UWT mmefanya mwaka huu yanagusa wananchi na siyo chawa wenzenu kama anavyofanya Malisa anachangisha watu wanatibiwa, wanaenda shule hata waliokata tamaa wanapata tabasamu.
Zaidi ya kuhamasisha ushoga na kumshawishi waanzishe vurugu kama Kenya Kuna kipi cha zaidi!?Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
View attachment 3034617
Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
No free lunch, sasa hivi hawa jamaa wataanza kutumika na mabeberuTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
View attachment 3034617
Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
Hapana mi acha nipae naye hachomoki kama Lucas nimeshamalizana naye huyu siwezi kumshidwaHuyo mjinga nilishamu ignore kitambo sana, ana mambo ya kijinga sana!
Una akili duni sana!Zaidi ya kuhamasisha ushoga na kumshawishi waanzishe vurugu kama Kenya Kuna kipi cha zaidi!?
Kwani Kuna balozi wa kiafrika mshabiki wa LGBTQ?Jamaa ni akili kubwa sn huwezi kuona amekutana na Balozi wa kutoka nchi za Africa
Hata mumeo si balozi wa nyumba kumi mbona ni shabiki wa LGBTQ?Kwani Kuna balozi wa kiafrika mshabiki wa LGBTQ?
Kama ambavyo makamu mwenyekiti wa Chadema hajui matumizi ya michango ya chama mana imepigwa kinyamera π ndivyo nami cjui khs mambo yanayoendelea UWTKwani bado wapo CHADEMA? taja mambo matatu tu ambayo UWT mmefanya mwaka huu yanagusa wananchi na siyo chawa wenzenu kama anavyofanya Malisa anachangisha watu wanatibiwa, wanaenda shule hata waliokata tamaa wanapata tabasamu.
Dah nimelia sana πHuyo mjinga nilishamu ignore kitambo sana, ana mambo ya kijinga sana!
Karibu sana mkuu, mwnyw niko nawe na nakuahidi Sikuachi kama ambavyo simuachi miss ErythrocyteHapana mi acha nipae naye hachomoki kama Lucas nimeshamalizana naye huyu siwezi kumshidwa
Sasa mbona kauli mbaya, c uende na mtu polepole π au hasira? πHata mumeo si balozi wa nyumba kumi mbona ni shabiki wa LGBTQ?
Huwezi kujua sababu upo kuimba mapambio na kupiga mizinga kwa wafanya biashara na utapeli tapeli mwingine, fedha za CHADEMA zinakaguliwa na CAG, kati ya CAG na wewe nani wenye report sahihi?Kama ambavyo makamu mwenyekiti wa Chadema hajui matumizi ya michango ya chama mana imepigwa kinyamera π ndivyo nami cjui khs mambo yanayoendelea UWT
Mi huwa namjibu mtu kama alivyokuja kipimo huwa kile kile ukija kistaarabu utajibiwa kistaarabu ukija kijinga nitakupa kipimo kile kile.Sasa mbona kauli mbaya, c uende na mtu polepole π au hasira? π
Masikini mna mawazo duni sana!Siku mkija kugundua walichokuwa wakikutania mtachukia na kujuta sifa zote mlizommwagia mtatamani kufuta lakini itakuwa too late
Yaelekea unaumia sana. Pole.Chadema bhana π
Wa kiafrika na Tanzania, watakutana na watanzania hukohuko ,hapa kwanza marekani na umoja wa ulayaSiyo huyu tu ni mabalozi wote wa Nchi kubwa, ila siyo mabalozi wa nchi za kiafrica
π€£π€£π€£π€£Mwamba ana network kubwa haswa, huwezi kuona Kinana amekutana na Balozi wa Marekani yeye ni wachina na waraabu ajili ya kuwauzia pembe