Upumbav mtupu hao US wanaeza kutuaribia nchi wakafadhili vijana machafuko yakaanza ,maana kama vijana wenyewe ndio kina sativaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
View attachment 3034617
Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
Akili zenu ...tangu lini US akataka maendeleo kwetu ?Jamaa ameji-brand vizuri sn na wazungu wanataka watu wenye akili pekee na siyo chawa
Una uhakika na unayoandika ?Ona
Akili zenu ...tangu lini US akataka maendeleo kwetu ?
Mkuu popote alipo US lazima alete hayo mambo ya ushoga na wizi na amani ya nchi kuchafuka ni chap xnaa,kuichukia kwenu serikali usifanye turudi utumwaniUna akili duni sana!
Una uhakika na unayoandika ?
Ccm miaka yote wanakutana lakini kikubwa ni madeni bakuli la misaadaWatu wa nje wakikutana na watu wa Chadema ni story ila wakikutana na watu wa ccm sio story 😂
hii inakupotezea uaminifu kwa vitu vingine utakavyoandikaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo
View attachment 3034617
Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
Unadhani kwanini balozi hakuita bendi ya TOT kutumbuiza?hii inakupotezea uaminifu kwa vitu vingine utakavyoandika
Sugu alitumbuiza kwenye hafla ya ubalozi wa marekani, watu tuliona
sasa kusalimiana na balozi kwenye hiyo hafla ndo uite wamektana kwa mazungumzo?
N kweli mkuuYaelekea unaumia sana. Pole.
Tuendelee kunywa mdori nyama tutazikuta chini🤣🤣🤣🤣
Kwanini usidhani Balozi ndio Agent?Sugu ni agent?
Mara ya kwanza walivyokutana uliandika hv hv, hizo taarifa rasmi ya balozi hua hazitoki tuu?Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
Maisha yakiwa magumu watu wataingia mtaani wenyewe tatizo nyie mkiwa mnakula mnajisahau mnafikiri wantanzania wote wanakula kama nyinyi maisha yakiwa magumu sana watu wataingia mtaani wenyeweZaidi ya kuhamasisha ushoga na kumshawishi waanzishe vurugu kama Kenya Kuna kipi cha zaidi!?
Kwamba Balozi anaweza kuwa chawa wa sugu🤔Kwanini usidhani Balozi ndio Agent?
Wala Sugu hawezi kuwa chawa wa balozi, chukua hili neno lihifadhiKwamba Balozi anaweza kuwa chawa wa sugu🤔
Na huko ndio tuendakoMaisha yakiwa magumu watu wataingia mtaani wenyewe tatizo nyie mkiwa mnakula mnajisahau mnafikiri wantanzania wote wanakula kama nyinyi maisha yakiwa magumu sana watu wataingia mtaani wenyewe