Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi akutana na Maranja Masese na kufanya naye Mazungumzo Mazito

Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi akutana na Maranja Masese na kufanya naye Mazungumzo Mazito

Chama cha wahuni na watukanaji mitandaoni.
Inakuaje kila kukicha mnafuatilia content za chama cha wahuni na watukanaji? Simngejikita kwenye vyama mnavyoona vinawafaa 🤣🤣🤣kimsingi mnaumia sana hawa watu wanavyokubalika na mnajua kabisa ukipigwa uchaguzi huru na haki hao hao masela saa nne asubuhi tu washawakalisha
 
Macho hayana pazia sasa, sisi tunasoma uzi wa chama chochote.
 
Macho hayana pazia sasa, sisi tunasoma uzi wa chama chochote.
Kama hawa wahuni mbona hatuoni nyuzi zakusifia ACT,NCCR,au CUF kwa kufanya vizuri ? Huwezi fuatilia kitu ambacho either Huna manufaa nacho au sio tishio kwako hii Inaonesha dhahiri CDM ni tishio kubwa sana hivyo content zake kila kukicha lazima nyuzi zipandishwe na ndio wanafanya active politics kuliko hata ma sisiemu ndio mana walipozuia mikutano wengine hata haijawagusa
 
Huyo Martin ni mashine ya matusi. Apewe udaktari wa heshima kwa matusi anayoporomosha ukiwa tofauti naye kimawazo.
 
Masese alitisha kwenye kesi ya mbowe dah mwamba aliripoti mwanzo mwisho live mpk tukadhani ni jini aisee chama changu kina vichwa hakika.
 
Back
Top Bottom