LGE2024 Mwenyekiti wa Kitongoji alieshinda (Chadema) atimuliwa kwenye kikao cha WDC Iramba, Singida

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Watu hawaelewi sheria na kanuni za TAMISEMI, huyo aliyemtumia sms ya mwaliko alimchuza, mwenyekiti wa kitongoji anaenda WDC kufanya nini wakati yeye ni mjumbe kamati ya kijiji? Huyo nae pia hajielewi au ndio wale tunawachagua hawajui nafasi zao na majukumu yao
Kiomboi ni mji mdogo bro,hakuna halmashauri za vijiji.
 
Ccm ni wajinga na wafuasi wao humu jamii forum kwa wenye mtazamo sawa na hawo.
Wafuasi wenyewe ndio kama hawa
163192.jpg
images (2).jpeg
 
Mpuz kweli huyo

Subiri waje wakane

Ova
 
Diwani ni mwenyekit wa WDC na mwenyekiti wa kitongoji sio mjumbe WDC Mwenyekiti wa kijiji ndio mjumbe halali. Diwani yupo sahihi kulingana sheria za TAMISEMI
Ungeinukuu hiyo Sheria ungekua umefanya jambo la Muhimu sana Kwa faida ya wengi!
Kwakua hujanukuu tunashindwa kukutofautisha na Diwani!
Kwakua hukuona umuhimu wa kuinukuu au uliona ukapuuza tu tunakufananisha na CCM wa sasa ambao kwao kufuata utaratibu waliojiwekea wenyewe wanaona changamoto na shida!
Jitofautishe na wao itakujengea credibility!
Tuwasilishie Sheria na kanuni zake kama zilivyotungwa na waziri wa tamisemi!
 
Mwenyekiti wa kitongoji alifata nini WDC wakati yeye sio mjumbe?
 
Yani kinachoenda kutokea ni sawa na rwanda wahutu na watutsi ila tanzania ni ccm na chadema. Itafika muda kupata huduma uwe na kadi ya ccm.
Hivi hawa watu wana shida gani?
Kwa kifupi hatukustaarabika kupokea na kujiunga na mfumo wa vyama vingi. Ndio maana yote hayo yanayokea.
 
Waungwana salaam? Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi.Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,kilichopo katika Kijiji cha Ruruma,kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA,ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari.Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao jicho,alipokea mwaliko wa sms,lakini katika hali ya kushangaza alipoingia ndani ya kikao hicho,kilichofanyika kwenye ofisi za mtendaji wa kata, diwani alimfurusha kama kibaka.Diwani huyu alielewa madaraka ametangaza kutomtambua bwana Timoth kama mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,Kwa kuwa anatokea CHADEMA.Aidha malalamiko yamekwisha wasilishwa kwa DC na kwa ded.
Wakati nafanya kazi Halmashauri wenyeviti wa vitongoji hawakuwa wajumbe wa WDC.Inawezekana siku hizi ni wajumbe
 
Diwani ni mwenyekit wa WDC na mwenyekiti wa kitongoji sio mjumbe WDC Mwenyekiti wa kijiji ndio mjumbe halali. Diwani yupo sahihi kulingana sheria za TAMISEMI
Kabisa,kitingoji sio mjumbe wa WDC bali ni mjumbe wa H/ Kijiji husika,diwani yupo sahihi kumtimua
 
Waungwana salaam? Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi.Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,kilichopo katika Kijiji cha Ruruma,kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA,ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari.Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao jicho,alipokea mwaliko wa sms,lakini katika hali ya kushangaza alipoingia ndani ya kikao hicho,kilichofanyika kwenye ofisi za mtendaji wa kata, diwani alimfurusha kama kibaka.Diwani huyu alielewa madaraka ametangaza kutomtambua bwana Timoth kama mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,Kwa kuwa anatokea CHADEMA.Aidha malalamiko yamekwisha wasilishwa kwa DC na kwa ded.
Wa vitongiji ni wajumbe wa wdc

Naomba kujuzwa
 
Ungeinukuu hiyo Sheria ungekua umefanya jambo la Muhimu sana Kwa faida ya wengi!
Kwakua hujanukuu tunashindwa kukutofautisha na Diwani!
Kwakua hukuona umuhimu wa kuinukuu au uliona ukapuuza tu tunakufananisha na CCM wa sasa ambao kwao kufuata utaratibu waliojiwekea wenyewe wanaona changamoto na shida!
Jitofautishe na wao itakujengea credibility!
Tuwasilishie Sheria na kanuni zake kama zilivyotungwa na waziri wa tamisemi!
Sheria ipi mwenyekiti wa kitongoji anaingia wdc ?
 
Sio mjumbe kivipi?Nimeandika huko juu kuwa, Kiomboi ni mji mdogo,ila Bado wanatumia vitongoji badala ya mitaa.
Amechaguliwa kama mwenyekiti wa kitongoji haruhusiwi kuingia kwenye wdc. Itakuwa alikuwa mgeni mwalikwa tu. Lakini si mjumbe halali wa wdc
 
Waungwana salaam? Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi.Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,kilichopo katika Kijiji cha Ruruma,kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA,ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari.Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao jicho,alipokea mwaliko wa sms,lakini katika hali ya kushangaza alipoingia ndani ya kikao hicho,kilichofanyika kwenye ofisi za mtendaji wa kata, diwani alimfurusha kama kibaka.Diwani huyu alielewa madaraka ametangaza kutomtambua bwana Timoth kama mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,Kwa kuwa anatokea CHADEMA.Aidha malalamiko yamekwisha wasilishwa kwa DC na kwa ded.
Ccm mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom