kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Huyo diwani ni wale darasa la saba mbumbumbu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika vizuri "kikao jicho" ndo nini????Waungwana salaam? Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi.Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,kilichopo katika Kijiji cha Ruruma,kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA,ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari.Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao jicho,alipokea mwaliko wa sms,lakini katika hali ya kushangaza alipoingia ndani ya kikao hicho,kilichofanyika kwenye ofisi za mtendaji wa kata, diwani alimfurusha kama kibaka.Diwani huyu alielewa madaraka ametangaza kutomtambua bwana Timoth kama mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,Kwa kuwa anatokea CHADEMA.Aidha malalamiko yamekwisha wasilishwa kwa DC na kwa ded.
CCM ni hatari sn ndiyo kwa Mwigulu NchembaWaungwana salaam? Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi.Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,kilichopo katika Kijiji cha Ruruma,kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA,ametimuliwa kwenye kikao cha WDC kwa amri ya diwani wa kata hiyo ndugu Omari.Licha ya kuwa yeye ni mjumbe halali wa kikao jicho,alipokea mwaliko wa sms,lakini katika hali ya kushangaza alipoingia ndani ya kikao hicho,kilichofanyika kwenye ofisi za mtendaji wa kata, diwani alimfurusha kama kibaka.Diwani huyu alielewa madaraka ametangaza kutomtambua bwana Timoth kama mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa b,Kwa kuwa anatokea CHADEMA.Aidha malalamiko yamekwisha wasilishwa kwa DC na kwa ded.
Hivi nyie vijana wa Ccm nani amewanyang'anya ubongo?Sheria ipi mwenyekiti wa kitongoji anaingia wdc ?
Tatizo ni jamii husika wakiamua wanawezaHuyo diwan kweli kalewa madaraka na hapo hata hawaz uchaguz mkuu umekaribia lakin hawaz