LGE2024 Mwenyekiti wa Kitongoji alieshinda (Chadema) atimuliwa kwenye kikao cha WDC Iramba, Singida

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Andika vizuri "kikao jicho" ndo nini????
 
CCM ni hatari sn ndiyo kwa Mwigulu Nchemba
 
Sheria ipi mwenyekiti wa kitongoji anaingia wdc ?
Hivi nyie vijana wa Ccm nani amewanyang'anya ubongo?
Nimekuambia ikiwa Kuna Sheria inayomkataza ni vyema ukainukuu na kuileta jammvini kama ulivyosema kwa mujibu wa Sheria ya Tamisemi inataka hivyo! Hii ni Kwa faida ya wengi, na kama haitoshi uoneshe majukumu ya na mamlaka ya Diwani kumfukuza mjumbe yeyote kwenye kikao hicho awe wa chama au asiye wa chama. Badala ya kujibu unauliza tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…