Mwenyekiti wa Machifu: Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu Mpina hayuko peke yake

Huyu ni mjomba wake na Mpina, hakuna chief hapo
 
Nimeguswa na maneno haya kuhusu Bunge letu tukufu, nikakumbuka baadhi ya mabandiko yangu kulihusu Bunge
‐ Thread 'Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?' Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?

P
 
Bunge la JMT liko kichawachawa tu kusifiasifia tuuuu

Ova
 
 
Fedheha
 

Attachments

  • b3a34e7e631270a9e73fdd13db687369.mp4
    3.6 MB
  • watermark-51a3cc01acd06eefe8d1d23a20c76918_0.jpeg
    516.2 KB · Views: 2
Machifu wenye akili zinazojitambua
 
Mpina ni mzushi na ni kipenz cha uongo ni muhimu sana kila neno analotamka likaangaliwa kwa uzito mkubwa maana hakawii kupotosha umma.

halafu mbona kawaleta wazee wachache tu? wazee wengine akina Kimtigiti na Burekizambere mbona hawapo?🐒
Angekuwepo angesema kipi ambacho hakijasemwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…