Mwenyekiti wa Machifu: Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu Mpina hayuko peke yake

Chief my ass, njaa tupu akibinywa tu huyo na uchief ataukataa. akogombee uwenyekiti wa mtaa anaweza kupata hata heshima mtaani kwake tu.
 
Nzirankende Magufuli,alivokua anawekeza chato,kuua wakina Ben Saanane na kukandamiza katiba,machief wa Kanda ya ziwa mulijifanya kama hamupo yaani,.............subirini dawa aliyomuachia msaidizi wake iwaingie kisawasawa
 
Chief Chief umesema kweli iliyo KWELI maana walio WENGI hawatutetei sisi wapiga kura wao ! Sijui kwenye kampeni mwakani watatueleza kipi ! Pole Yao sana maana wengi HAWASTAHILI Tena kabisaaa.
 
walozi hao mixer ndumba ukileta uwaki wanakuondosha
Huo ndio ujumbe wanaofikisha hapo 😁 na si kingine 😂 kama mnavyojua uchawi wa ziwani ulivyo wa moto. Kuna mtu atatumiwa mamba akileta ujinga kwa kijana wetu Luhaga.
 
Safi sana japo kwangu machifu sio viongozi nawapenda maana hawachaguliwi wala hawako kwenye katiba ila hapa wanacheza roll positive sana kutetea uongozi bora nchini. Hoja kuu kama hizi kuhusu ufisadi zinazimwa kwa technicalities za kutafutwa na darubini. Binafsi namlaani kabisa speaker kwa kutumia madaraka yake badala ya kulinda maslahi ya wananchi analinda mafisadi serikalini.
 
Chief Hangaya wameongea Naye
 
Hawa machief wasije kumharibia mbunge wao watu wakaruka na jina lake 2025 - najaribu kuangalia angle nyingine maana CCM huwa haitaki bughudha.
 
Sasa inakuwaje wanampa Uchief wa Heshima mtu asiyestahili ...!!? Maana hayo yote wanayoyalalamikia pamoja na kuzunguka zunguka, mhusika Mkuu ni huyo Chief wa Heshima.
😁😁😁😁😁😁 Sina mwanasheria
 
Aisee huyu mganga sijui chifu yuko vyema upstairs kuliko uvccm wote
 
Hawa machief wasije kumharibia mbunge wao watu wakaruka na jina lake 2025 - najaribu kuangalia angle nyingine maana CCM huwa haitaki bughudha.
Wakaleta Buguza ya Simiyu, Shinyanga, Mwanza na Geita
 
Tanzania hakuna maprofesa, wangekuwepo wasingekubali kusimamiwa na kuongozwa na watoto waliowafuta kamasi..!
Nakuunga mkono.
Mmoja alisema kinyesi cha mifugo (ng'ombe kinaua samaki wa mto Mara).
Mwingine akasema aliokotwa jalalani pale UDSM.
Huyu anayetajwa kuwa mtaalamu wa uchumi aliwahi kustaafu ukuu wa chama chake asubuhi,jioni akarejea tena ofisini kwa uvamizi wa mitutu ya polisi akavunja milango na kukalia tena kiti kama mkuu wa chama tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…