Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Ngoma ndo yakaribia kupasuka vile 2025 by June tutaona na kusikia mengi!!Hii vita ya ndani ya chama inaonekana inazidi kukomaa kwa kasi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma ndo yakaribia kupasuka vile 2025 by June tutaona na kusikia mengi!!Hii vita ya ndani ya chama inaonekana inazidi kukomaa kwa kasi sana
Umesikiliza kwa makini nondo za machifu? Neno lao ni sheria.. HalipingwiFedheha
Nzirankende Magufuli,alivokua anawekeza chato,kuua wakina Ben Saanane na kukandamiza katiba,machief wa Kanda ya ziwa mulijifanya kama hamupo yaani,.............subirini dawa aliyomuachia msaidizi wake iwaingie kisawasawaChief Kisendi Josephat Nkingwa ambaye ni Mwenyekiti wa Machifu wa Usukumani, ameyasema hayo wakati akiwa katika viunga vya Bunge ambapo aliambatana na Machifu wengine, pamoja na Mapadri kutembelea Bunge na kumuunga mkono Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina baada ya kumaliza kutumikia adhabu ya kutoshiriki vikao 15 vya Bunge.
"Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu hayuko peke yake, sisi tunamuunga mkono. hata alipozungumza Bungeni kimetafutwa kipengele kidogo tu katamka neno 'Kodi' badala ya 'Tozo' basi limeshupaliwa mpaka limeonekana ni kama mtu anaangaliwa sasa kama adui.”
“Badala ya kuonekana kama ni mmoja wa wabunge ambao wanaisimamia Serikali. na Bunge kama litazembea, litakuwa linaogopa ogopa linaenda kichwa chawa hivyo, litakosa meno, litakuwa halina maana ya kwamba ni Bunge la kushauri na kuisimamia Serikali, utaishaurije Serikali kama unaisifia tangu mwanzo mpaka mwisho, kana kwamba unaongea kuhusu jopo la malaika. Hapana!”
“Ni lazima ueleze hapa pazuri tulifanikiwa hapa hatukufanikiwa, lakini ile kusifu kila kitu, kila kitu wakati kuna matatizo mengine chungu nzima mnayafunika. Kwa hoja za haraka haraka si sahihi. Bunge likikaa hivyo halina maana ya kuwepo.” - Chief Kisendi Josephat Nkingwa.
Chief umesema kweli iliyo KWELI maana walio WENGI hawatutetei sisi wapiga kura wao ! Sijui kwenye kampeni mwakani watatueleza kipi ! Pole Yao sana maana wengi HAWASTAHILI Tena kabisaaa.Chief Kisendi Josephat Nkingwa ambaye ni Mwenyekiti wa Machifu wa Usukumani, ameyasema hayo wakati akiwa katika viunga vya Bunge ambapo aliambatana na Machifu wengine, pamoja na Mapadri kutembelea Bunge na kumuunga mkono Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina baada ya kumaliza kutumikia adhabu ya kutoshiriki vikao 15 vya Bunge.
"Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu hayuko peke yake, sisi tunamuunga mkono. hata alipozungumza Bungeni kimetafutwa kipengele kidogo tu katamka neno 'Kodi' badala ya 'Tozo' basi limeshupaliwa mpaka limeonekana ni kama mtu anaangaliwa sasa kama adui.”
“Badala ya kuonekana kama ni mmoja wa wabunge ambao wanaisimamia Serikali. na Bunge kama litazembea, litakuwa linaogopa ogopa linaenda kichwa chawa hivyo, litakosa meno, litakuwa halina maana ya kwamba ni Bunge la kushauri na kuisimamia Serikali, utaishaurije Serikali kama unaisifia tangu mwanzo mpaka mwisho, kana kwamba unaongea kuhusu jopo la malaika. Hapana!”
“Ni lazima ueleze hapa pazuri tulifanikiwa hapa hatukufanikiwa, lakini ile kusifu kila kitu, kila kitu wakati kuna matatizo mengine chungu nzima mnayafunika. Kwa hoja za haraka haraka si sahihi. Bunge likikaa hivyo halina maana ya kuwepo.” - Chief Kisendi Josephat Nkingwa.
Naam , hakika hakika.Chief kaongea kisomi sana
Limekosa tija kwetu sisi walala hoi. Eeh MUNGU utunusuru.Bunge la JMT liko kichawachawa tu kusifiasifia tuuuu
Ova
Huo ndio ujumbe wanaofikisha hapo 😁 na si kingine 😂 kama mnavyojua uchawi wa ziwani ulivyo wa moto. Kuna mtu atatumiwa mamba akileta ujinga kwa kijana wetu Luhaga.walozi hao mixer ndumba ukileta uwaki wanakuondosha
Hahahah kina chief Godlove, Chief rumanyika, Q Chief na wengineo wazee wameamua kwamba baada ya mahakama ya jamhuri kuna mahakama ya kimila ipo 😁 kwahio wasijisahau.Hawa Sasa ndio machifu sio kama wale wengine wahuni
Kuna chief wa heshima na chief asilia ambaye anajua seleka zote za kizombi na kuendesha mahakama za kimila.Wamesahau kuwa CHIEF Mkuu ni HANGAYA ..... Walimpa wenyewe hicho cheo!!
Umepigaje hapo?Tatizo siyo bunge, ni mhimili uliojichimbia
Na Mziki ule wa bezi unaotoa mlio, baada ya kugundua kuna mhimili uliojichimbia, kaamua kuwa chawa wa mhimili huo
Safi sana japo kwangu machifu sio viongozi nawapenda maana hawachaguliwi wala hawako kwenye katiba ila hapa wanacheza roll positive sana kutetea uongozi bora nchini. Hoja kuu kama hizi kuhusu ufisadi zinazimwa kwa technicalities za kutafutwa na darubini. Binafsi namlaani kabisa speaker kwa kutumia madaraka yake badala ya kulinda maslahi ya wananchi analinda mafisadi serikalini.Chief Kisendi Josephat Nkingwa ambaye ni Mwenyekiti wa Machifu wa Usukumani, ameyasema hayo wakati akiwa katika viunga vya Bunge ambapo aliambatana na Machifu wengine, pamoja na Mapadri kutembelea Bunge na kumuunga mkono Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina baada ya kumaliza kutumikia adhabu ya kutoshiriki vikao 15 vya Bunge.
"Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu hayuko peke yake, sisi tunamuunga mkono. hata alipozungumza Bungeni kimetafutwa kipengele kidogo tu katamka neno 'Kodi' badala ya 'Tozo' basi limeshupaliwa mpaka limeonekana ni kama mtu anaangaliwa sasa kama adui.”
“Badala ya kuonekana kama ni mmoja wa wabunge ambao wanaisimamia Serikali. na Bunge kama litazembea, litakuwa linaogopa ogopa linaenda kichwa chawa hivyo, litakosa meno, litakuwa halina maana ya kwamba ni Bunge la kushauri na kuisimamia Serikali, utaishaurije Serikali kama unaisifia tangu mwanzo mpaka mwisho, kana kwamba unaongea kuhusu jopo la malaika. Hapana!”
“Ni lazima ueleze hapa pazuri tulifanikiwa hapa hatukufanikiwa, lakini ile kusifu kila kitu, kila kitu wakati kuna matatizo mengine chungu nzima mnayafunika. Kwa hoja za haraka haraka si sahihi. Bunge likikaa hivyo halina maana ya kuwepo.” - Chief Kisendi Josephat Nkingwa.
Chief Hangaya wameongea NayeChief Kisendi Josephat Nkingwa ambaye ni Mwenyekiti wa Machifu wa Usukumani, ameyasema hayo wakati akiwa katika viunga vya Bunge ambapo aliambatana na Machifu wengine, pamoja na Mapadri kutembelea Bunge na kumuunga mkono Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina baada ya kumaliza kutumikia adhabu ya kutoshiriki vikao 15 vya Bunge.
"Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu hayuko peke yake, sisi tunamuunga mkono. hata alipozungumza Bungeni kimetafutwa kipengele kidogo tu katamka neno 'Kodi' badala ya 'Tozo' basi limeshupaliwa mpaka limeonekana ni kama mtu anaangaliwa sasa kama adui.”
“Badala ya kuonekana kama ni mmoja wa wabunge ambao wanaisimamia Serikali. na Bunge kama litazembea, litakuwa linaogopa ogopa linaenda kichwa chawa hivyo, litakosa meno, litakuwa halina maana ya kwamba ni Bunge la kushauri na kuisimamia Serikali, utaishaurije Serikali kama unaisifia tangu mwanzo mpaka mwisho, kana kwamba unaongea kuhusu jopo la malaika. Hapana!”
“Ni lazima ueleze hapa pazuri tulifanikiwa hapa hatukufanikiwa, lakini ile kusifu kila kitu, kila kitu wakati kuna matatizo mengine chungu nzima mnayafunika. Kwa hoja za haraka haraka si sahihi. Bunge likikaa hivyo halina maana ya kuwepo.” - Chief Kisendi Josephat Nkingwa.
Afu chief anakuwaje Kiumbe! Chifu inatakiwa atawale viumbe!Hawa ndio Machifu sasa. Sio Chifu Kiumbe mara Q Chifu.
Kuna chief wa heshima na chief asilia ambaye anajua seleka zote za kizombi na kuendesha mahakama za kimila.
😁😁😁😁😁😁 Sina mwanasheriaSasa inakuwaje wanampa Uchief wa Heshima mtu asiyestahili ...!!? Maana hayo yote wanayoyalalamikia pamoja na kuzunguka zunguka, mhusika Mkuu ni huyo Chief wa Heshima.
Aisee huyu mganga sijui chifu yuko vyema upstairs kuliko uvccm woteChief Kisendi Josephat Nkingwa ambaye ni Mwenyekiti wa Machifu wa Usukumani, ameyasema hayo wakati akiwa katika viunga vya Bunge ambapo aliambatana na Machifu wengine, pamoja na Mapadri kutembelea Bunge na kumuunga mkono Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina baada ya kumaliza kutumikia adhabu ya kutoshiriki vikao 15 vya Bunge.
"Tumekuja kutoa taarifa Bungeni kwamba Mbunge wetu hayuko peke yake, sisi tunamuunga mkono. hata alipozungumza Bungeni kimetafutwa kipengele kidogo tu katamka neno 'Kodi' badala ya 'Tozo' basi limeshupaliwa mpaka limeonekana ni kama mtu anaangaliwa sasa kama adui.”
“Badala ya kuonekana kama ni mmoja wa wabunge ambao wanaisimamia Serikali. na Bunge kama litazembea, litakuwa linaogopa ogopa linaenda kichwa chawa hivyo, litakosa meno, litakuwa halina maana ya kwamba ni Bunge la kushauri na kuisimamia Serikali, utaishaurije Serikali kama unaisifia tangu mwanzo mpaka mwisho, kana kwamba unaongea kuhusu jopo la malaika. Hapana!”
“Ni lazima ueleze hapa pazuri tulifanikiwa hapa hatukufanikiwa, lakini ile kusifu kila kitu, kila kitu wakati kuna matatizo mengine chungu nzima mnayafunika. Kwa hoja za haraka haraka si sahihi. Bunge likikaa hivyo halina maana ya kuwepo.” - Chief Kisendi Josephat Nkingwa.
Wakaleta Buguza ya Simiyu, Shinyanga, Mwanza na GeitaHawa machief wasije kumharibia mbunge wao watu wakaruka na jina lake 2025 - najaribu kuangalia angle nyingine maana CCM huwa haitaki bughudha.
Nakuunga mkono.Tanzania hakuna maprofesa, wangekuwepo wasingekubali kusimamiwa na kuongozwa na watoto waliowafuta kamasi..!