Ni mchungaji bhana. Sio padreeMwenye kiti wa mtaa alitaka kuwapa ujumbe wananchi kuhusu usalama wa Kijiji ndipo padre alipo zuia nakudai hapa ni mahali pa ibada sio mengine, ila mwenye kiti akakazaa kifatacho mikono ikatembea kavukavu
Ni mchungaji bhana. Sio padreeMwenye kiti wa mtaa alitaka kuwapa ujumbe wananchi kuhusu usalama wa Kijiji ndipo padre alipo zuia nakudai hapa ni mahali pa ibada sio mengine, ila mwenye kiti akakazaa kifatacho mikono ikatembea kavukavu
Invinsible naomba mrekebisha heading huyo siyo padreMwenye kiti wa mtaa alitaka kuwapa ujumbe wananchi kuhusu usalama wa Kijiji ndipo padre alipo zuia nakudai hapa ni mahali pa ibada sio mengine, ila mwenye kiti akakazaa kifatacho mikono ikatembea kavukavu
Mwenye kiti wa mtaa alitaka kuwapa ujumbe wananchi kuhusu usalama wa Kijiji ndipo padre alipo zuia nakudai hapa ni mahali pa ibada sio mengine, ila mwenye kiti akakazaa kifatacho mikono ikatembea kavukavu
Nini kimetokea.....Mwenye kiti wa mtaa alitaka kuwapa ujumbe wananchi kuhusu usalama wa Kijiji ndipo padre alipo zuia nakudai hapa ni mahali pa ibada sio mengine, ila mwenye kiti akakazaa kifatacho mikono ikatembea kavukavu
View attachment 3679746
Video inajieleza mkuuNini kimetokea.....
Hapana bondia, ila mwisho kazingua sijui alitaka kumuuma mwenyekiti hahaaaaa🤣Padri anaonekana ana chembechembe za kichina
Yule mama aliekuja kuamua kasukumwa na upepo wa ngumi ya mtumishi hadi kaanguka🤣Padri anaonekana ana chembechembe za kichina
nimekupata mkuu... Kama YESU alivumilia dhihaka za wayahudi, sasa huyu kiongozi kabisa hii inadhirisha watu hawana hata holy spirit.....Video inajieleza mkuu
Hahaaa huyo mama kapulizwa na upepo wa fist ya mtumishi ila mwisho mtumishi kazingua alitaka kumuuma mwenyekiti 🤣Konde lilikuwa na upako heavy sana kiasi kwamba upepo wake tu umempuliza huyo mama hapo kati hadi akaenda chini🤣🤣
Angalia vizuri wanaume wamo, ila nadhani walitaka washuhudie nani mwanaume, kwa mtazamo wa video unaonesha hawa walikua wanatamaniana tangu zamani, sababu jamaa alivo zuiwa asiongee chochote ye akasigea kabisa kuonesha alikua tayari kwa lolote, sema hakutegenea kama mtumishi atarusha bombaHuyo si padre, kanisa katoliki huwa haliendeshwi kihuni kihuni namna hiyo. Kama kuna uhitaji wa kufanya jambo kwa kutumia nguvu watu wa kufanya hivyo watapatikana, si padre kuingia mzigoni.
Halafu waumini (kondoo) wote ni wanawake, yaani wanaume pekee walio humo ni mchungaji na mwenyekiti pekee, huenda hata wanapigania demu.
🤣🤣🤣mtumishi aliona mambo yasiwe mengi akageuka zombie na kupata zake soup safi shingoni pa chairmanHahaaa huyo mama kapulizwa na upepo wa fist ya mtumishi ila mwisho mtumishi kazingua alitaka kumuuma mwenyekiti 🤣
Samahani mkuu mi nimezoea kuita hivo samahani sana kwa makosa hayoNi mchungaji bhana. Sio padree
Samahan mkuu nimeshindwa kutambia hivo mana si Imani yangu feel sorry 4 thatHuyo sio padre tafadhali...na mapadre wanatumia tu sauti inatosha hakunaga kugombana...CATHOLIC si unaijua lakini
Ukiwachekea sana hawa watu ni mtihani sana Kuna muda inabiddi mpashane kidogo japo hakua sahihi wote wamezingua japo mchokozi umemfahamu tayari mana mchungaji yupo kwenye eneo lake la KAZI ye ndio kafatwanimekupata mkuu... Kama YESU alivumilia dhihaka za wayahudi, sasa huyu kiongozi kabisa hii inadhirisha watu hawana hata holy spirit.....
Hahaaaaa, ila wananchi mizinguo sana, hawajaamua, wametulia utafikiri hawamo🤣🤣🤣mtumishi aliona mambo yasiwe mengi akageuka zombie na kupata zake soup safi shingoni pa chairman
Hio ngumi balaaa, Yani jamaa hadi kayumba mama wa watu kaanguka inaonekana iliombewa kwanza alafu ikatumwaPadri ameona amalizie hasira zake za sadaka kwa mshikaji
Atakuwa padri wa kuhani Musa mwacha muonaji na baba lao