Naona meno yametembea hapo.š¤£š¤£Mwenye kiti wa mtaa alitaka kuwapa ujumbe wananchi kuhusu usalama wa Kijiji ndipo padre alipo zuia nakudai hapa ni mahali pa ibada sio mengine, ila mwenye kiti akakazaa kifatacho mikono ikatembea kavukavu
View attachment 3679746