Tetesi: Huyu mwanajeshi amepata wapi hizi fedha za kuinunua Namanga Makangira?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Mimi niliwahi kuwa mkazi wa eneo linaloitwa Namanga Makangira, ni karibu sana na Oysterbay na Msasani Makangira.

Enzi hizo, miaka ya 2000 mpaka 2011, eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na Ubalozi wa Marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.

Ubalozi ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathmini ya mali zao, kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha Bi. Chukundu na vingine.

Ubalozi uliiomba Serikali ifanye tathmini. Kweli tathmini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa Ubalozi wa Marekani wakawa tayari kulipa fidia.

Kilichojili baada ya hapo ni mizengwe, maana madalali ambao walikuwa watumishi wa umma waliingilia kati na kutaka Ubalozi wa Marekani uingize fedha hizo serikalini, alafu Serikali ilipe wananchi.

Hilo jambo Ubalozi ukakataa kabisa kabisa, maana uliona nia ovu ya Serikali kutaka kuwapunja wananchi wake. Kubali usikubali, uongozi wa Jakaya unafanana sana na uongozi wa Samia kwa wizi.

Mijitu inaiba jaman, hatari na haina huruma, ni majizi yanayovaa tai.

Basi bwana, ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpaka wa leo.

Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka Serikalini kuwa eneo lile haliruhusiwi kujengea ghorofa yoyote, kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.

Baada ya utawala wa Kikwete, sasa awamu ya tano na sita, eneo lote, hilo eneo sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka Jeshi la Wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao.

Huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?
 
Mimi niliwai kuwa mkazi wa eneo linaitwa Namanga makangira, ni karibu sana na osterbay, na msasani makangira.

Enzi hizo miaka ya 2000 mpk 211 eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na UBALOZI wa marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.

UBALOZI ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathimini ya mali zao kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha bi chukundu na vingine.

UBALOZI uliiomba serikali ifanye tathimini kweli tathimini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa UBALOZI wa marekani wakawa tayari kulipa fidie.

Kilichojili baada ya hapo, ni ni mizengwe maana madalali AMBAO walikuwa WATUMISHI WA UMMA waliingilia kati na kutaka UBALOZI wa marekani uingize fedha hizo serikalini alafu serikali ilipe wananchi, ilo jambo UBALOZI ukakataaa kabisa kabisa maana uliona Nia ovu ya serikali kutaka kuwapunja wananchi wake ( kubali usikubali UONGOZI WA jakaya unafanana sana na UONGOZI WA Samia kwa wizi mijitu inaiba jaman hatari na Haina huruma ni majizi yanayovaa tai.

Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.

Baada ya UTAWALA wa kikwete Sasa AWAMU ya Tano na sita eneo lote,ilo eneo Sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka jeshi la wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao je jeshini Kuna wizi? Je huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?

Serikalini punguzeni wizi nchi ya kwetu soooote.
miaka mingi tu iliyopita jeshini kumekuwa na kuna wizi tena wa kufa mtu, sema kwa kuwa zamani mitandao haikuwepo hivyo ilikuwa ngumu kupata habari za wizi na hata zikiwepo ilikuwa ngumu wadanganyika kuamini maana walikuwa wanaamini mno kila wanachoambiwa na ccm. Kumbuka kashfa ya wafanyabiashara wa kiasia kuagiza bidhaa na kusema ni mali ya jeshi na kwa hiyo hazikuwa zinalipiwa kodi then zikawa zinauzwa kwa wananchi kwa bei juu as if zimelipiwa kodi. Kumbuka kashfa ya manji sare za jeshi, kumbuka kashfa za lugumi na wengine kibao. Jesh linalinda wezi kabisa tena kwa wivu mkubwa sana.
Huu wizi hauwezi kwisha kabda Mungu aingile kati. Kumbuka mama mwizi na mwanae mwizi wanahonga hao jamaa na kuwapa mali ili walindwe maana wanajua kamwe mama mwizi hakubaliki
 
Mimi niliwai kuwa mkazi wa eneo linaitwa Namanga makangira, ni karibu sana na osterbay, na msasani makangira.

Enzi hizo miaka ya 2000 mpk 211 eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na UBALOZI wa marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.

UBALOZI ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathimini ya mali zao kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha bi chukundu na vingine.

UBALOZI uliiomba serikali ifanye tathimini kweli tathimini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa UBALOZI wa marekani wakawa tayari kulipa fidie.

Kilichojili baada ya hapo, ni ni mizengwe maana madalali AMBAO walikuwa WATUMISHI WA UMMA waliingilia kati na kutaka UBALOZI wa marekani uingize fedha hizo serikalini alafu serikali ilipe wananchi, ilo jambo UBALOZI ukakataaa kabisa kabisa maana uliona Nia ovu ya serikali kutaka kuwapunja wananchi wake ( kubali usikubali UONGOZI WA jakaya unafanana sana na UONGOZI WA Samia kwa wizi mijitu inaiba jaman hatari na Haina huruma ni majizi yanayovaa tai.

Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.

Baada ya UTAWALA wa kikwete Sasa AWAMU ya Tano na sita eneo lote,ilo eneo Sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka jeshi la wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao je jeshini Kuna wizi? Je huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?

Serikalini punguzeni wizi nchi ya kwetu soooote.
Kwa hiyo UBALOZI walikataa kulipa kupitia serikali. Wanataka kuonana na mwenye mali

Lakini UBALOZI walipotaka kujua bei waliende kuuliza Serikali. Hawakutaka bei ya mwenye mali.

Huo utakuwa UBALOZI wa nyumba kumi, Manzese kwa Mfuga Mbwa.
 
miaka mingi tu iliyopita jeshini kumekuwa na kuna wizi tena wa kufa mtu, sema kwa kuwa zamani mitandao haikuwepo hivyo ilikuwa ngumu kupata habari za wizi na hata zikiwepo ilikuwa ngumu wadanganyika kuamini maana walikuwa wanaamini mno kila wanachoambiwa na ccm. Kumbuka kashfa ya wafanyabiashara wa kiasia kuagiza bidhaa na kusema ni mali ya jeshi na kwa hiyo hazikuwa zinalipiwa kodi then zikawa zinauzwa kwa wananchi kwa bei juu as if zimelipiwa kodi. Kumbuka kashfa ya manji sare za jeshi, kumbuka kashfa za lugumi na wengine kibao. Jesh linalinda wezi kabisa tena kwa wivu mkubwa sana.
Huu wizi hauwezi kwisha kabda Mungu aingile kati. Kumbuka mama mwizi na mwanae mwizi wanahonga hao jamaa na kuwapa mali ili walindwe maana wanajua kamwe mama mwizi hakubaiki
Ndiyo maana huwa nawashangaa wanaodai Jeshi letu laweza kuipindua serikali.
 
Kwa raha wanazopewa na huyu mama sio rahisi aisee watu wanahongwa buana na ushirikina wa kuwapumbuza wanafanyiwa hasa. Yaan mama Tanganyika kashindiliwa vyuma vya moto kila mahala inasikitisha sana ila ndiyo hivyo
 
Kuna mwaka fulani kuna habari ilitoka ya mnadhimu wa jeshi nafikiri jina ni Shimbo ya kwamba ana pesa mno ingawa si za halali.

Hii ilitokea nipo primary kwahiyo hata taarifa ilikuja lakini kuipata kwa uhakika ni ngumu
 
Back
Top Bottom