Tetesi: Huyu mwanajeshi amepata wapi hizi fedha za kuinunua Namanga Makangira?

Tetesi: Huyu mwanajeshi amepata wapi hizi fedha za kuinunua Namanga Makangira?

inaweza kuwa kweli.
Ila mimi naona ni sawa kuachwa tuu kama sehemu ya historia.

Sasa mbuyu una historia gani mzee wakati ni mti kama miti mingine tu...

Ule mti pale si kwamba una kumbukumbu yoyote kwenye historia ya nchi...
 
Mimi niliwai kuwa mkazi wa eneo linaitwa Namanga makangira, ni karibu sana na osterbay, na msasani makangira.

Enzi hizo miaka ya 2000 mpk 211 eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na UBALOZI wa marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.

UBALOZI ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathimini ya mali zao kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha bi chukundu na vingine.

UBALOZI uliiomba serikali ifanye tathimini kweli tathimini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa UBALOZI wa marekani wakawa tayari kulipa fidie.

Kilichojili baada ya hapo, ni ni mizengwe maana madalali AMBAO walikuwa WATUMISHI WA UMMA waliingilia kati na kutaka UBALOZI wa marekani uingize fedha hizo serikalini alafu serikali ilipe wananchi, ilo jambo UBALOZI ukakataaa kabisa kabisa maana uliona Nia ovu ya serikali kutaka kuwapunja wananchi wake ( kubali usikubali UONGOZI WA jakaya unafanana sana na UONGOZI WA Samia kwa wizi mijitu inaiba jaman hatari na Haina huruma ni majizi yanayovaa tai.

Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.

Baada ya UTAWALA wa kikwete Sasa AWAMU ya Tano na sita eneo lote,ilo eneo Sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka jeshi la wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao je jeshini Kuna wizi? Je huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?

Serikalini punguzeni wizi nchi ya kwetu soooote.
Kuwa jeshini, sio, hoja,
Ufisadi upon kila sehemu,
Lakini kumiriki mabilioni, na wewe ni mtumishi wa umma,haimaniishi wewe ni fisadi, unaweza, kuwa, unalipwa milioni 9,upo kazini kwa miaka 20! Umeuza kipande cha ardhi ya urithi Dodoma kwa milioni 300! (Inawezekana), kununua, plot Dar sio ajabu,
 
Nina uhakika kuna shule ya msingi Mbuyuni kutokana na huo Mbuyu
Hata eneo la pale lina julikana Namanga Mbuyuni

Yeah jina la Mbuyuni ni kituo na ile shule tu pale ndio vinaitwa hivyo...

Maeneo mengine yote pale karibu yanaitwa kwa majina yao mengine kama Ada Estate upande wa Seifee, huu upande wa shule kuna Oysterbay, Namanga n.k
 
Maandazi road ni kwa nyuma ya ubalozi ulipo uwanja wa magunia, jina jingine almaarufu ni bonde la mpunga...

Hapo unapopataja kama sikosei lilikuwa eneo la Kitwana Kondo, sijui kama hadi sasa ni urithi wa vizazi vyake au wahuni walishadeal nalo...
Ila hiyo mitaa ni balaa aisee pauzwe tuu paboreshwe
Nyuma ya Dar Villa huwezi amini wana ishi watu ndio unasikia mikocheni ushuani dooh
 
Ila hiyo mitaa ni balaa aisee pauzwe tuu paboreshwe
Nyuma ya Dar Villa huwezi amini wana ishi watu ndio unasikia mikocheni ushuani dooh

Kule nyuma kunaitwa Msasani mzee, ni eneo la uswazi limesambaa hadi mitaa ya Mayfair, upande wa pili TMJ...

Kiasili hayo maeneo yalivamiwa na Wamakonde miaka ya nyuma sababu yalikuwa oevu watu wengine hawakuweza kuishi...

Hata chimbuko la jina Msasani ni umaarufu wa mtu aliyeitwa Musa Hassan...
 
Hatari sana ila kuzuri kuna vitoto vishombe shombe vikuku tuu miguuni hataree 🔥
 
Mwizi ni mtu mwenye akili ndogo sana na haoni mbali kabisa,kwa sisi tuliosoma vitabu mbalimbali vya maendeleo ya ulaya yalivyokuwa nyakati hizo wizi mkali wa binadamu ukija linganisha na lifespan yetu sisi viumbe wapumbavu sana na wezi,pengine kwa kuiba na kujenga majengo utagundua all is useless,majengo yataendelea kubadilisha,ardhi zitakuja kuchukuliwa na serekali zijazo,hili ndilo huwanyima furaha hata matajiri wakubwa,hawana furaha yoyote off course wameishi kwa raha sana lakini obviously is useless,ndiyo maana serekali za ulaya hujibidiisha kuboresha maisha ya watu,kuwatoa stress maana stress hufupisha maisha ya watu aidha raia kuwa na chuki mioyoni mwao,but ipo siku na saa atakuja kiongozi bila kutarajia ataweka mambo sawa.
Kumbe mnajua kila kitu. Ila mnajitoa ufahamu kusifia madudu.
 
Kuna mwarabu flani naskia aliwakomalia wamarekani kuwauzia eneo lake karibu na ubalozi wa Marekani akaweka sheli. Baada ya Marekani kununua hiyo drive in.

RRONDO mrangi
Hapana. Petrol station iliondolewa pale ikajengwa ofisi iliokuwa ya Zantel. Huwezi kushindana na USA hata eneo la ubalozi mwenye drive in cinema aliletq shobo akapigwa na kitu kizito na ubalozi ukajengwa.
 
Mimi niliwai kuwa mkazi wa eneo linaitwa Namanga makangira, ni karibu sana na osterbay, na msasani makangira.

Enzi hizo miaka ya 2000 mpk 211 eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na UBALOZI wa marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.

UBALOZI ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathimini ya mali zao kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha bi chukundu na vingine.

UBALOZI uliiomba serikali ifanye tathimini kweli tathimini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa UBALOZI wa marekani wakawa tayari kulipa fidie.

Kilichojili baada ya hapo, ni ni mizengwe maana madalali AMBAO walikuwa WATUMISHI WA UMMA waliingilia kati na kutaka UBALOZI wa marekani uingize fedha hizo serikalini alafu serikali ilipe wananchi, ilo jambo UBALOZI ukakataaa kabisa kabisa maana uliona Nia ovu ya serikali kutaka kuwapunja wananchi wake ( kubali usikubali UONGOZI WA jakaya unafanana sana na UONGOZI WA Samia kwa wizi mijitu inaiba jaman hatari na Haina huruma ni majizi yanayovaa tai.

Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.

Baada ya UTAWALA wa kikwete Sasa AWAMU ya Tano na sita eneo lote,ilo eneo Sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka jeshi la wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao je jeshini Kuna wizi? Je huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?

Serikalini punguzeni wizi nchi ya kwetu soooote.
 
Attachments

  • IMG-20260912-WA0007.jpg
    IMG-20260912-WA0007.jpg
    32.7 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1789136148044.jpg
    FB_IMG_1789136148044.jpg
    91 KB · Views: 10
Kwa hiyo UBALOZI walikataa kulipa kupitia serikali. Wanataka kuonana na mwenye mali

Lakini UBALOZI walipotaka kujua bei waliende kuuliza Serikali. Hawakutaka bei ya mwenye mali.

Huo utakuwa UBALOZI wa nyumba kumi, Manzese kwa Muuza komoni.
Hujui kitu wewe.
Umeathiriwa na ukiritimba wa wezi wa CCM.
Chenji ya radar ilikuwaje mashariti yake?
Wazungu wanawajua watu weusi kwa ubadhirifu na dhulumati.
 
Juzi juzi nilikuwepo Dar, nimepita pale karibu na ubalozi, nimeshangaa ile open space iliyopo pembezoni mwa nyumba za Tanesco karibu na nyumba ya marehemu Mapalala, imezungushiwa mabati ni kama kuna wahuni washainunua sijui wanataka kujenga kitu gani pale...

Maana pale ilikiwa uwanja wa mpira na usiku ilikuwa sehemu nzuri ya kutazama sinema enzi za Drive Inn kabla ule ukuta wa sinema haujavunjwa...

Yaani Dar ukiwa na pesa hakuna mahali utashindwa kununua, maana hata ilipokuwa Zantel/Yas sasa palikuwa ni open space kila j'mosi kulikuwa na gulio la wamakomde toka Msasani...
Wanajenga moja ya viwanja vya mazoezi kwa ajili ya AFCN. Vingine vinajengwa Leaders Club na pale The Green Oysterbay.
 
Back
Top Bottom