Mimi niliwai kuwa mkazi wa eneo linaitwa Namanga makangira, ni karibu sana na osterbay, na msasani makangira.
Enzi hizo miaka ya 2000 mpk 211 eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na UBALOZI wa marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.
UBALOZI ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathimini ya mali zao kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha bi chukundu na vingine.
UBALOZI uliiomba serikali ifanye tathimini kweli tathimini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa UBALOZI wa marekani wakawa tayari kulipa fidie.
Kilichojili baada ya hapo, ni ni mizengwe maana madalali AMBAO walikuwa WATUMISHI WA UMMA waliingilia kati na kutaka UBALOZI wa marekani uingize fedha hizo serikalini alafu serikali ilipe wananchi, ilo jambo UBALOZI ukakataaa kabisa kabisa maana uliona Nia ovu ya serikali kutaka kuwapunja wananchi wake ( kubali usikubali UONGOZI WA jakaya unafanana sana na UONGOZI WA Samia kwa wizi mijitu inaiba jaman hatari na Haina huruma ni majizi yanayovaa tai.
Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.
Baada ya UTAWALA wa kikwete Sasa AWAMU ya Tano na sita eneo lote,ilo eneo Sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka jeshi la wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao je jeshini Kuna wizi? Je huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?
Serikalini punguzeni wizi nchi ya kwetu soooote.