Tetesi: Huyu mwanajeshi amepata wapi hizi fedha za kuinunua Namanga Makangira?

Tetesi: Huyu mwanajeshi amepata wapi hizi fedha za kuinunua Namanga Makangira?

Hujui kitu wewe.
Umeathiriwa na ukiritimba wa wezi wa CCM.
Chenji ya radar ilikuwaje mashariti yake?
Wazungu wanawajua watu weusi kwa ubadhirifu na dhulumati.
Kama Wazungu hawapendi udhulumati, kwa nn bei walienda kumuuliza huyo dhulumati ???
 
Siku hizi hakuna kelele za vyuma kukaza.
Watu wanafyatuka tu.
Cement 20,000 alafu kama hakuna jambo lilotokea.watu wanajenga
Ni wapi huko wanauza sementi 20000 mwezi huu.Nataka Dodoma nimekuta simenti 24500 Dangote, 23500 mchina na ndo Bei rahisi
 
Back
Top Bottom