Hivi ule uwanja utabaki kweli sahvi lazima utauzwa tuUmenikumbusha uwanja wa magunia😂
Nilikuwa siamini mpaka nilipofika na kuona uwanja mzima umezungukwa na magunia
Sawasawa, na mimi nilitaka kusema hivyo,
Ule upande tulikuwa tunaangalia sinema bubu ya drive in miaka ile ndio umepakana kabisa na ubalozi
Huko makangira tofauti kabisa
Si ndipo zilizopo ofisi za tigo
Yas sahv ilikuwa oilcom ile kama sijakosea
Ova
Sahihi kabisa GT. Dah long time kichiz. Hivi hule ubalozi wa north korea bado upo pale pale karibu na mataa ya Morocco na office pia za celltetSi ndipo zilizopo ofisi za tigo
Yas sahv ilikuwa oilcom ile kama sijakosea
Ova
Vipi pale mbuyuni hule mbuyu bado upo barabarani. Na yale maduka ya chini Namanga si sasa hivi yamebomolewa watu wameshusha maghorofa.Si ndipo zilizopo ofisi za tigo
Yas sahv ilikuwa oilcom ile kama sijakosea
Ova
Umenikumbusha uwanja wa magunia😂
Nilikuwa siamini mpaka nilipofika na kuona uwanja mzima umezungukwa na magunia
Duh,nahs wako mikocheni some whereSahihi kabisa GT. Dah long time kichiz. Hivi hule ubalozi wa north korea bado upo pale pale karibu na mataa ya Morocco na office pia za celltet
Nilikuwa namsikia tu babu tulikuwa wadogo bado tunasoma miaka hiyoHahahahahaaaaa kumbe wee ni born town. Vipi huyu Mateso (Chek Norris) mnyakyusa uliweza kumfaham?
Vipi pale mbuyuni hule mbuyu bado upo barabarani. Na yale maduka ya chini Namanga si sasa hivi yamebomolewa watu wameshusha maghorofa.
Mpaka naondk bongo mmbuyu ulikuwepo pembeni nyumba saffie hospital,wengine wabishi kuuza,kuna nyumba zingine nliacha waliingia jv nkVipi pale mbuyuni hule mbuyu bado upo barabarani. Na yale maduka ya chini Namanga si sasa hivi yamebomolewa watu wameshusha maghorofa.
Ule mbuyu manima sijui ni nyumba ya ibada ya watu wa serikalini...Ule mbuyu manima sijui ni nyumba ya ibada ya watu wa serikalini...
Enzi ile inajengwa double road waliuacha, sasa hivi inajengwa BRT bado wameuacha pale pale...
lengo lako ni kutaka kumfedhehesha jk kwa uongo utaishia hivyo hivyo hutafanikiea.Uongo una una mwisho wakeMimi niliwai kuwa mkazi wa eneo linaitwa Namanga makangira, ni karibu sana na osterbay, na msasani makangira.
Enzi hizo miaka ya 2000 mpk 211 eneo lile kwa mara ya kwanza lilitaka kununuliwa na UBALOZI wa marekani, kwa lengo la kujenga ngome ya kijeshi.
UBALOZI ulikuwa tayari kuwalipa fidia wananchi wote baada ya kufanyiwa tathimini ya mali zao kwa maana ya majumba na vijijumba kama kile kibanda cha bi chukundu na vingine.
UBALOZI uliiomba serikali ifanye tathimini kweli tathimini ilifanyika, ripoti zilipopelekwa UBALOZI wa marekani wakawa tayari kulipa fidie.
Kilichojili baada ya hapo, ni ni mizengwe maana madalali AMBAO walikuwa WATUMISHI WA UMMA waliingilia kati na kutaka UBALOZI wa marekani uingize fedha hizo serikalini alafu serikali ilipe wananchi, ilo jambo UBALOZI ukakataaa kabisa kabisa maana uliona Nia ovu ya serikali kutaka kuwapunja wananchi wake ( kubali usikubali UONGOZI WA jakaya unafanana sana na UONGOZI WA Samia kwa wizi mijitu inaiba jaman hatari na Haina huruma ni majizi yanayovaa tai.
Bas bwana ule mchakato ukagomea pale na kufia pale mpk wa Leo.
Baada ya hapo yalipitishwa matangazo kutoka serikalini yakuwa eneo lile hariruhusiwi KUJENGEA ghorofa yoyote kisa lipo karibu na ufukwe wa bahari ya pwani.
Baada ya UTAWALA wa kikwete Sasa AWAMU ya Tano na sita eneo lote,ilo eneo Sasa linanunuliwa na mwanajeshi kutoka jeshi la wananchi kwa gharama kubwa na kujenga maghorofa ya kibao je jeshini Kuna wizi? Je huyo mwanajeshi anapata wapi fedha?
Serikalini punguzeni wizi nchi ya kwetu soooote.
Ule mbuyu manima sijui ni nyumba ya ibada ya watu wa serikalini...
Nimecheka kwa sauti 😆😆😆😆
Shuguli wa kungoa mmbuyu si mchezo mzee alafu ule mmbuyu ni wa miaka mingi sana aise kabla hata nyerere hajaja mjini upoUle mbuyu manima sijui ni nyumba ya ibada ya watu wa serikalini...
Nimecheka kwa sauti 😆😆😆😆
Mkuu inabidi uwahi huko Chalinze pwani na pangani Tanga ili watoto wako wasije siku moja baadaye kukulaumu dingi mbona hakuwa na maono.Wewe chezea sisi ndio watoto wa mjini sasa
Dar yote mimi nizunguka sana wakati natoroka shule, zamani mpaka uwanja wa ndege kule miaka ya 80 tulukiwa tunaenda kujificha kuko kimya
Hiyo msasani hapo ubalozi ndio ilikuwa out yetu watoto wa uswazi tunaangalia movie za kibubu ili kuwa sinema ya drive in
Sema mdingi alikuwa na ukauzu, kauza kiwanja msasani kwenye madimbwi ya chumvi katuhamishia mbagala noma kweli sasa hivi pale ni haushi kama hauna dolari kuanzia bilioni
Ungekaa kimya jamaa angeonekana hamnazo, sadly wewe ndiyo umedhihirisha hamnazo zaidi yakexumamalamaakao msenge mbwa xumabaako umeingia mjini kufirwa xumamalaako punga wewe bwabwa unawashwawashwa mxunxdu xumalamaako
Nimejaribu hiyo mbinu, tatizo wanakuweka kwenye note kuwa next time akikukuta mada yoyote anakuporomeshea matusiUngekaa kimya jamaa angeonekana hamnazo, sadly wewe ndiyo umedhihirisha hamnazo zaidi yake
Mwizi ni mtu mwenye akili ndogo sana na haoni mbali kabisa,kwa sisi tuliosoma vitabu mbalimbali vya maendeleo ya ulaya yalivyokuwa nyakati hizo wizi mkali wa binadamu ukija linganisha na lifespan yetu sisi viumbe wapumbavu sana na wezi,pengine kwa kuiba na kujenga majengo utagundua all is useless,majengo yataendelea kubadilisha,ardhi zitakuja kuchukuliwa na serekali zijazo,hili ndilo huwanyima furaha hata matajiri wakubwa,hawana furaha yoyote off course wameishi kwa raha sana lakini obviously is useless,ndiyo maana serekali za ulaya hujibidiisha kuboresha maisha ya watu,kuwatoa stress maana stress hufupisha maisha ya watu aidha raia kuwa na chuki mioyoni mwao,but ipo siku na saa atakuja kiongozi bila kutarajia ataweka mambo sawa.Watu wanakula kwenye hii nchi! Acha kabisa.
inaweza kuwa kweli.Hahah sasa tuseme nini mzee...
Waliweza kuvunja ghorofa la Tanesco Ubungo, makazi ya watu tokea Magomeni, Ubungo hadi Kiluvya ili tu barabara itanuliwe lakini wameshindwa kukata mbuyu ambao ume-occupy kama sentimita 20 za mraba...