Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu upuuzi utaisha pale ujinga wa kupita bila kupingwa utakapokomeshwa!Yote hayo wanalazimisha apite bila kupingwa, siku zote wanatuambia anakubalika jimboni kwake kwasababu anatoa bure huduma ya kuzika sasa siwamuache apigiwe kura na hao wanaomkubali.
Wewe akili yako inafaa kuwa ya bata.body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Na haya ulio andika wewe ndio ya kweli?body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho