Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kuna wakati fulani act walikua wanatembea mikoani huko wanaorodhesha changamoto na kutoa mapendekezo , lilikua jambo la maana sanaHuyu dogo ana akili nzuri mno ila chama alichokikumbatia hakimpeleki popote .
Zaidi namuona akija kuharibika kama rafiki yake wa enzi hizo bwana Emijidius Cornel walipokuwa kwenye harakati keko ya magurumbasi juu ya habari za walimu wa kujitolea
Ni jambo la maana lakini bado tunao muda mrefu sana wa kusubiria ACT kuwa chama cha upinzani sababu ni nyingi zinazokinyima credibility hiko chama .Kuna wakati fulani act walikua wanatembea mikoani huko wanaorodhesha changamoto na kutoa mapendekezo , lilikua jambo la maana sana
Hiyo ilikuwa na maana kama ushindani ni wa sera. Sasa unakusanya taarifa na kuziwekea mikakati ya kuzitatua, ikifika wakati wa uchaguzi mshindi anatangazwa nje ya kura za wananchi.Kuna wakati fulani act walikua wanatembea mikoani huko wanaorodhesha changamoto na kutoa mapendekezo , lilikua jambo la maana sana
Naam mkuu, sema hapo kwa Elina tumtakie kila la kheri ampate nondo,Ni jambo la maana lakini bado tunao muda mrefu sana wa kusubiria ACT kuwa chama cha upinzani sababu ni nyingi zinazokinyima credibility hiko chama .
Huyo dogo ni pure activist ila njia anayopita ina makando kando mengi na pia alikosea kutanguliza uhome boy kwenye harakati maana Godfather wake haeleweki yeye ni nani toka alipokimbizwa CDM .
Anyway kila jambo lipe muda ,wacha tusiyoyajua tuyape muda ipo siku tutayajua tu .
Ila ukimuona mwambie Elina bado hajaamini kama huyo dogo angemuacha kisa hiko cheo cha ngome sijui ya vijana ,bado anamkubali sana ,mueleze awe anapokea na simu zake ,kuachana sio vita sababu maisha yana vituo vingi huwezi jua kuna kituo wanaweza kutana tena kama walivyokutana UD
Naam na changamoto kuu kabisa ya ccm, kutika hawataki na kuchapa kazi hawaweziHiyo ilikuwa na maana kama ushindani ni wa sera. Sasa unakusanya taarifa na kuziwekea mikakati ya kuzitatua, ikifika wakati wa uchaguzi mshindi anatangazwa nje ya kura za wananchi.
Kwasasa hivi ccm hawafanyi siasa bali wanapora madaraka baada ya kufikia mwisho. Siku za nyuma kulikuwa na midahalo, lakini kwa sasa hakuna, ama ipo kwa uchache. Na iliyopo ni ya kusufia serekali, ama inayochujwa sana.Naam na changamoto kuu kabisa ya ccm, kutika hawataki na kuchapa kazi hawawezi
Kwasasa hivi ccm hawafanyi siasa bali wanapora madaraka baada ya kufikia mwisho. Siku za nyuma kulikuwa na midahalo, lakini kwa sasa hakuna, ama ipo kwa uchache. Na iliyopo ni ya kusufia serekali, ama inayochujwa sana.