Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Stop Over kwa Kapinga ni mwizi wa pesa za ulinzi shirikishi

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,107
Reaction score
9,671
Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD.

Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya Serikali.
 
Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD. Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya serikali.
Vitu vingine muwe mnaelewa kwanza, sio kutoa lawama bila kujua kitu, toka lini pesa za ulinzi shirikishi zinakatiwa risiti za EFD?unafahamu hizo pesa zinatolewa risiti za efd, zinakwenda wapi?yaani mmeshakaririshwa kuwa kila malipo lazima yatolewe risiti ya Efd?hiyo pesa ya ulinzi ni ya kuwalipa hao vijana waliojitolea kulinda eneo husika, sasa hiyo pesa atakatiwaje risiti ya EFD?Hapo ni risiti ya kawaida tu inayotambulika na uongozi wa s/mtaa.
 
Endeleeni kuwapa Elimu maana idadi kubwa ya watu hawana Elimu kabisaa..
 
Vitu vingine muwe mnaelewa kwanza, sio kutoa lawama bila kujua kitu, toka lini pesa za ulinzi shirikishi zinakatiwa risiti za EFD?unafahamu hizo pesa zinatolewa risiti za efd, zinakwenda wapi?yaani mmeshakaririshwa kuwa kila malipo lazima yatolewe risiti ya Efd?hiyo pesa ya ulinzi ni ya kuwalipa hao vijana waliojitolea kulinda eneo husika, sasa hiyo pesa atakatiwaje risiti ya EFD?Hapo ni risiti ya kawaida tu inayotambulika na uongozi wa s/mtaa.
Unajua kama hawa Walinzi ni sawa na wazoa taka na unajua kuwa suala ulinzi shirikishi linasimamiwa na kata? Huyu mjumbe ni mwizi tu.
 
Serikali za mitaa zote ziko chini ya CCM, chochote anachokifanya ujue anawakilisha serikali na chama. Conclusively, CCM ni majizi yaliyokubuhu. Ukinuna uwe na sababu
 
Na huyu ni mwizi tu ana element zote za upigaji.
 
Unajua kama hawa Walinzi ni sawa na wazoa taka na unajua kuwa suala ulinzi shirikishi linasimamiwa na kata? Huyu mjumbe ni mwizi tu.
Tofautisha suala la ulinzi na taka taka.Mkandalasi wa taka taka anapewa tenda na halimashauri husika baada ya kushinda zabuni!!ndio maana hata pesa yake inakatiwa risiti za EFD, kwani inahesabika ni mapato ya ndani ya halimashauri, ulinzi ni utaratibu unaowekwa na s/mtaa, ndio maana una ona hata ukusanyaji wake ni mgumu kwani ni kubembelezana!!
 
Fedha zote za mtaa zinatakiwa zikusanywe kwa kutumia POS machine na risiti ya EFD itolewe kwa kila pesa inayokusanywa na mtaa husika. Hata kama no ulinzi shirikishi fedha hizo hukusanywa na na kuwa deposited kwenye akaunti ya mtaa kabla ya kutumia.
 
Tatizo lenu sungusungu mnajionaga wajeda wa jwtz
 
Vitu vingine muwe mnaelewa kwanza, sio kutoa lawama bila kujua kitu, toka lini pesa za ulinzi shirikishi zinakatiwa risiti za EFD?unafahamu hizo pesa zinatolewa risiti za efd, zinakwenda wapi?yaani mmeshakaririshwa kuwa kila malipo lazima yatolewe risiti ya Efd?hiyo pesa ya ulinzi ni ya kuwalipa hao vijana waliojitolea kulinda eneo husika, sasa hiyo pesa atakatiwaje risiti ya EFD?Hapo ni risiti ya kawaida tu inayotambulika na uongozi wa s/mtaa.
Ansante mkuu nimeshituka huu uwasilishaji sijui labda atakuwa ameandika kifup
 
Fedha zote za mtaa zinatakiwa zikusanywe kwa kutumia POS machine na risiti ya EFD itolewe kwa kila pesa inayokusanywa na mtaa husika. Hata kama no ulinzi shirikishi fedha hizo hukusanywa na na kuwa deposited kwenye akaunti ya mtaa kabla ya kutumia.
Sio kweli!!pesa inayokuwa haihusiani na mapato ya ndani ya halimashauri haikusanywi kwa mashine za EFD, , hizo za ulinzi zinasimamiwa na s/mtaa tu.hivi unajua pesa zinazokusanywa kwa EFD, zinakwenda wapi na huko zinapoingia kuzitoa kwake utaratibu wake upoje?kwa sasa pesa za uzoaji taka kwakuwa ni tenda inayosimamiwa na halimashauri ndio zinatolewa risiti za EFD.
 
Wazee wa Fitna kazini, utakuta mnagombania 5000 tu.
Hata mama ntilie kwa hela hiyo akuonee huruma tu ndo utakula angalau ubwabwa maharage.
 
Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD.

Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya serikali.
Mkuu kwenye ngazi ya kata hakuna cheo cha Mwenyekiti kwenye kata kuna Diwani.
Mtaani kwangu sichangaii fedha za sungusungu kwani hao sungusungu wenyewe siwaonagi, ila nashangaa Sana kuna watu wanapitagapitaga kuchangisha fedha za huo ulinzi
 
Huyu kwetu mjumbe na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ni wezi hasa ulinzi hakuna huyu mjumbe kutwa kuchangisha 10,000.
 
Unajua kama hawa Walinzi ni sawa na wazoa taka na unajua kuwa suala ulinzi shirikishi linasimamiwa na kata? Huyu mjumbe ni mwizi tu.
Wewe huna akili. Kwa uzoefu wangu na jamii na maswala ya Ulinzi Shirikishi, Moja ya changamoto wanayokutana nayo vijana waanojitolea Ni watu Aina yako, msiotaka kuchangia zoezi Hilo na pia hamtaki kujitolea kufanaya zoezi Hilo.

Ushauri.
Kama huna pesa ya kulipia zoezi Hilo sema tu jamani mambo yangu hayapo sawa nikipata nitalipa Ila hizo mbwembwe za EFD Ni kukosa akili.
 
Mkuu kwenye ngazi ya kata hakuna cheo cha Mwenyekiti kwenye kata kuna Diwani.
Mtaani kwangu sichangaii fedha za sungusungu kwani hao sungusungu wenyewe siwaonagi, ila nashangaa Sana kuna watu wanapitagapitaga kuchangisha fedha za huo ulinzi
Wewe unalala usiku unajamba tu utawaonaje? Nyie ndio Mpaka mkiibiwa hizo flat screen zenu mnaanza kueanyooshea kidole vijana wa watu. Binafsi mtaani kwangu nachangia Ulinzi na nikiwakuta usiku nawatoa hata ya kahawa
 
Acha ubwege wewe, sasa mtu mdogo kama mwenyekiti wa serikali ya mtaa anawashinda mtaweza kweli nyie kuilinda nchi yenu....?
 
Wewe huna akili. Kwa uzoefu wangu na jamii na maswala ya Ulinzi Shirikishi, Moja ya changamoto wanayokutana nayo vijana waanojitolea Ni watu Aina yako, msiotaka kuchangia zoezi Hilo na pia hamtaki kujitolea kufanaya zoezi Hilo.

Ushauri.
Kama huna pesa ya kulipia zoezi Hilo sema tu jamani mambo yangu hayapo sawa nikipata nitalipa Ila hizo mbwembwe za EFD Ni kukosa akili.
Mbona umekuja juu ni ww ama. Kujitolea kivipi. Changamoto ipi shida ipo mahala unalipia hela bila kupata huduma kama ww una hela za kuchezea ni sawa unalipishwa 10,000 halafu hakuna hata mlinzi. Pia mjumbe hana mamlaka ya kusimamia ulinzi wa kulipia hawa vijana wanaojitolea sijui kama unajua kuwa kuna askari wa mgambo wa kata ambao ndio jukumu lao. Kama wewe ndio mjumbe basi zile tabia zako za wizi ziache kule ulipofukuzwa.
 
huyo mnaweza hata wenyewe kumchapa viboko tu na akaacha tabia yake nyie mtaa mzima mnakuja kulalamika huku JF....
 
Back
Top Bottom