Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Vitu vingine muwe mnaelewa kwanza, sio kutoa lawama bila kujua kitu, toka lini pesa za ulinzi shirikishi zinakatiwa risiti za EFD?unafahamu hizo pesa zinatolewa risiti za efd, zinakwenda wapi?yaani mmeshakaririshwa kuwa kila malipo lazima yatolewe risiti ya Efd?hiyo pesa ya ulinzi ni ya kuwalipa hao vijana waliojitolea kulinda eneo husika, sasa hiyo pesa atakatiwaje risiti ya EFD?Hapo ni risiti ya kawaida tu inayotambulika na uongozi wa s/mtaa.Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD. Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya serikali.
Endeleeni kuwapa Elimu maana idadi kubwa ya watu hawana Elimu kabisaa..Vitu vingine muwe mnaelewa kwanza, sio kutoa lawama bila kujua kitu, toka lini pesa za ulinzi shirikishi zinakatiwa risiti za EFD?unafahamu hizo pesa zinatolewa risiti za efd, zinakwenda wapi?yaani mmeshakaririshwa kuwa kila malipo lazima yatolewe risiti ya Efd?hiyo pesa ya ulinzi ni ya kuwalipa hao vijana waliojitolea kulinda eneo husika, sasa hiyo pesa atakatiwaje risiti ya EFD?Hapo ni risiti ya kawaida tu inayotambulika na uongozi wa s/mtaa.
Unajua kama hawa Walinzi ni sawa na wazoa taka na unajua kuwa suala ulinzi shirikishi linasimamiwa na kata? Huyu mjumbe ni mwizi tu.Vitu vingine muwe mnaelewa kwanza, sio kutoa lawama bila kujua kitu, toka lini pesa za ulinzi shirikishi zinakatiwa risiti za EFD?unafahamu hizo pesa zinatolewa risiti za efd, zinakwenda wapi?yaani mmeshakaririshwa kuwa kila malipo lazima yatolewe risiti ya Efd?hiyo pesa ya ulinzi ni ya kuwalipa hao vijana waliojitolea kulinda eneo husika, sasa hiyo pesa atakatiwaje risiti ya EFD?Hapo ni risiti ya kawaida tu inayotambulika na uongozi wa s/mtaa.
Na huyu ni mwizi tu ana element zote za upigaji.Serikali za mitaa zote ziko chini ya CCM, chochote anachokifanya ujue anawakilisha serikali na chama. Conclusively, CCM ni majizi yaliyokubuhu. Ukinuna uwe na sababu
Tofautisha suala la ulinzi na taka taka.Mkandalasi wa taka taka anapewa tenda na halimashauri husika baada ya kushinda zabuni!!ndio maana hata pesa yake inakatiwa risiti za EFD, kwani inahesabika ni mapato ya ndani ya halimashauri, ulinzi ni utaratibu unaowekwa na s/mtaa, ndio maana una ona hata ukusanyaji wake ni mgumu kwani ni kubembelezana!!Unajua kama hawa Walinzi ni sawa na wazoa taka na unajua kuwa suala ulinzi shirikishi linasimamiwa na kata? Huyu mjumbe ni mwizi tu.
Ansante mkuu nimeshituka huu uwasilishaji sijui labda atakuwa ameandika kifupVitu vingine muwe mnaelewa kwanza, sio kutoa lawama bila kujua kitu, toka lini pesa za ulinzi shirikishi zinakatiwa risiti za EFD?unafahamu hizo pesa zinatolewa risiti za efd, zinakwenda wapi?yaani mmeshakaririshwa kuwa kila malipo lazima yatolewe risiti ya Efd?hiyo pesa ya ulinzi ni ya kuwalipa hao vijana waliojitolea kulinda eneo husika, sasa hiyo pesa atakatiwaje risiti ya EFD?Hapo ni risiti ya kawaida tu inayotambulika na uongozi wa s/mtaa.
Sio kweli!!pesa inayokuwa haihusiani na mapato ya ndani ya halimashauri haikusanywi kwa mashine za EFD, , hizo za ulinzi zinasimamiwa na s/mtaa tu.hivi unajua pesa zinazokusanywa kwa EFD, zinakwenda wapi na huko zinapoingia kuzitoa kwake utaratibu wake upoje?kwa sasa pesa za uzoaji taka kwakuwa ni tenda inayosimamiwa na halimashauri ndio zinatolewa risiti za EFD.Fedha zote za mtaa zinatakiwa zikusanywe kwa kutumia POS machine na risiti ya EFD itolewe kwa kila pesa inayokusanywa na mtaa husika. Hata kama no ulinzi shirikishi fedha hizo hukusanywa na na kuwa deposited kwenye akaunti ya mtaa kabla ya kutumia.
Mkuu kwenye ngazi ya kata hakuna cheo cha Mwenyekiti kwenye kata kuna Diwani.Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD.
Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya serikali.
Huyu kwetu mjumbe na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ni wezi hasa ulinzi hakuna huyu mjumbe kutwa kuchangisha 10,000.Mkuu kwenye ngazi ya kata hakuna cheo cha Mwenyekiti kwenye kata kuna Diwani.
Mtaani kwangu sichangaii fedha za sungusungu kwani hao sungusungu wenyewe siwaonagi, ila nashangaa Sana kuna watu wanapitagapitaga kuchangisha fedha za huo ulinzi
Wewe huna akili. Kwa uzoefu wangu na jamii na maswala ya Ulinzi Shirikishi, Moja ya changamoto wanayokutana nayo vijana waanojitolea Ni watu Aina yako, msiotaka kuchangia zoezi Hilo na pia hamtaki kujitolea kufanaya zoezi Hilo.Unajua kama hawa Walinzi ni sawa na wazoa taka na unajua kuwa suala ulinzi shirikishi linasimamiwa na kata? Huyu mjumbe ni mwizi tu.
Wewe unalala usiku unajamba tu utawaonaje? Nyie ndio Mpaka mkiibiwa hizo flat screen zenu mnaanza kueanyooshea kidole vijana wa watu. Binafsi mtaani kwangu nachangia Ulinzi na nikiwakuta usiku nawatoa hata ya kahawaMkuu kwenye ngazi ya kata hakuna cheo cha Mwenyekiti kwenye kata kuna Diwani.
Mtaani kwangu sichangaii fedha za sungusungu kwani hao sungusungu wenyewe siwaonagi, ila nashangaa Sana kuna watu wanapitagapitaga kuchangisha fedha za huo ulinzi
Mbona umekuja juu ni ww ama. Kujitolea kivipi. Changamoto ipi shida ipo mahala unalipia hela bila kupata huduma kama ww una hela za kuchezea ni sawa unalipishwa 10,000 halafu hakuna hata mlinzi. Pia mjumbe hana mamlaka ya kusimamia ulinzi wa kulipia hawa vijana wanaojitolea sijui kama unajua kuwa kuna askari wa mgambo wa kata ambao ndio jukumu lao. Kama wewe ndio mjumbe basi zile tabia zako za wizi ziache kule ulipofukuzwa.Wewe huna akili. Kwa uzoefu wangu na jamii na maswala ya Ulinzi Shirikishi, Moja ya changamoto wanayokutana nayo vijana waanojitolea Ni watu Aina yako, msiotaka kuchangia zoezi Hilo na pia hamtaki kujitolea kufanaya zoezi Hilo.
Ushauri.
Kama huna pesa ya kulipia zoezi Hilo sema tu jamani mambo yangu hayapo sawa nikipata nitalipa Ila hizo mbwembwe za EFD Ni kukosa akili.