Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
SASA CHEMISTRY HAIWEZI KUPATIKANA KWA SIKU MOJA, kule uturuki walienda kufanya pre season ya nini? yaani anatuona wajinga kwa kutuambia timu haina chemistry hadi leo?... soka mchezo wa mchakato my foot...... [emoji837] βΊβΊ 'ππΌππΌππππ½πΌ ππΌπππππ'
Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC
"Wanasimba watulie wasipende kukosoa kila kitu, kwamba timu haichezi vizuri.. Soka ni mchezo wa mchakato, chemistry haiwezi kupatikana kwa siku moja"
"Naamini hii timu tulioisajili ni nzuri, itafanya vizuri sana sio ndani tu ya Nchi bali hata kwenye mashindano ya kimataifa"
[emoji2399] Salim Abdallah Try again
Try AgainLakini kwa mapenzi yake yeye na Jangwani ikabidi apotezee hizo ofa aje Gongowazi
Then mnakuja kumtapeli kirahisi View attachment 2734527
Try again Kwa kweli,ahaaaaTry Again
Lakini kwa mapenzi yake yeye na Jangwani ikabidi apotezee hizo ofa aje GongowaziTry Again
Mwambieni huyo Try Again wanalunyasi hatuelewi slogan zake akatry again na kocha wake aje na uongo ambao ni invisible.βΊβΊ 'ππΌππΌππππ½πΌ ππΌπππππ'
Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC
"Wanasimba watulie wasipende kukosoa kila kitu, kwamba timu haichezi vizuri.. Soka ni mchezo wa mchakato, chemistry haiwezi kupatikana kwa siku moja"
"Naamini hii timu tulioisajili ni nzuri, itafanya vizuri sana sio ndani tu ya Nchi bali hata kwenye mashindano ya kimataifa"
Salim Abdallah Try again
Mkuu inaonekana huko kuna wajinga wengi sana, maana habari ya simba ,mtu anaweka kitu kingineTry Again