Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
βΊβΊ 'ππΌππΌππππ½πΌ ππΌπππππ'
Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC
"Wanasimba watulie wasipende kukosoa kila kitu, kwamba timu haichezi vizuri.. Soka ni mchezo wa mchakato, chemistry haiwezi kupatikana kwa siku moja"
"Naamini hii timu tulioisajili ni nzuri, itafanya vizuri sana sio ndani tu ya Nchi bali hata kwenye mashindano ya kimataifa"
Salim Abdallah Try again