Mwenyekiti wa Simba atoa tamko kuhusu pira papatu papatu

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
β€Ίβ€Ί 'π™’π˜Όπ™‰π˜Όπ™Žπ™„π™ˆπ˜½π˜Ό π™’π˜Όπ™π™π™‡π™„π™€'

Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC

"Wanasimba watulie wasipende kukosoa kila kitu, kwamba timu haichezi vizuri.. Soka ni mchezo wa mchakato, chemistry haiwezi kupatikana kwa siku moja"

"Naamini hii timu tulioisajili ni nzuri, itafanya vizuri sana sio ndani tu ya Nchi bali hata kwenye mashindano ya kimataifa"

Salim Abdallah Try again
 
Lakini kwa mapenzi yake yeye na Jangwani ikabidi apotezee hizo ofa aje Gongowazi

Then mnakuja kumtapeli kirahisi
Screenshot_20230831-141927.png
 
... [emoji837] β€Ίβ€Ί 'π™’π˜Όπ™‰π˜Όπ™Žπ™„π™ˆπ˜½π˜Ό π™’π˜Όπ™π™π™‡π™„π™€'

Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC

"Wanasimba watulie wasipende kukosoa kila kitu, kwamba timu haichezi vizuri.. Soka ni mchezo wa mchakato, chemistry haiwezi kupatikana kwa siku moja"

"Naamini hii timu tulioisajili ni nzuri, itafanya vizuri sana sio ndani tu ya Nchi bali hata kwenye mashindano ya kimataifa"

[emoji2399] Salim Abdallah Try again
SASA CHEMISTRY HAIWEZI KUPATIKANA KWA SIKU MOJA, kule uturuki walienda kufanya pre season ya nini? yaani anatuona wajinga kwa kutuambia timu haina chemistry hadi leo?... soka mchezo wa mchakato my foot...
 
β€Ίβ€Ί 'π™’π˜Όπ™‰π˜Όπ™Žπ™„π™ˆπ˜½π˜Ό π™’π˜Όπ™π™π™‡π™„π™€'

Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC

"Wanasimba watulie wasipende kukosoa kila kitu, kwamba timu haichezi vizuri.. Soka ni mchezo wa mchakato, chemistry haiwezi kupatikana kwa siku moja"

"Naamini hii timu tulioisajili ni nzuri, itafanya vizuri sana sio ndani tu ya Nchi bali hata kwenye mashindano ya kimataifa"

Salim Abdallah Try again
Mwambieni huyo Try Again wanalunyasi hatuelewi slogan zake akatry again na kocha wake aje na uongo ambao ni invisible.
 
Back
Top Bottom