sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba,
Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba
"Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki kwa sababu ni jambo ambalo tumekubaliana lisitajwe. Fedha zimetoka kwa mwekezaji na zimewekwa kwenye akaunti maalumu"
Za chini chini ni kwamba hizo Bilioni 20 ni pesa alizogharamia simba kununua wachezaji, kulipia mishahara, safari, hoteli, n.k kuanzia kile kipindi cha 2016, kwa hio ni kama alikuwa anaikopesha simba (hakuna pesa ya bure) hivyo hio bilioni 20 imenunua hisa za umiliki za kumpa Mo umiliki wa simba kwa asilimia 49, lakini sasa hizo Bilioni 20 zilipoingia tu zikafowadiwa kulipia madeni kwenye hela alizokuwa akiikopesha simba.