Mwenyekiti wa simba - Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki !!

Mwenyekiti wa simba - Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki !!

Embu yanga tuacheni nyie endereeni na mambo yenu
 
1. Ipo siku litatokea kundi la wanachama wa Simba litakalofungua kesi kuhitaji kujua fedha alizoikopesha Simba liliidhinishwa na kikao gani cha bodi
2. Ipo siku kuna kundi litatokea litafungua kesi kuchallenge legality ya investor
Yetu Macho
Sehemu gani aliposema kwamba alikuwa anaikopesha Simba?
 
Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba,
Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba

"Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki kwa sababu ni jambo ambalo tumekubaliana lisitajwe. Fedha zimetoka kwa mwekezaji na zimewekwa kwenye akaunti maalumu"

Za chini chini ni kwamba hizo Bilioni 20 ni pesa alizogharamia simba kununua wachezaji, kulipia mishahara, safari, hoteli, n.k kuanzia kile kipindi cha 2016, kwa hio ni kama alikuwa anaikopesha simba (hakuna pesa ya bure) hivyo hio bilioni 20 imenunua hisa za umiliki za kumpa Mo umiliki wa simba kwa asilimia 49, lakini sasa hizo Bilioni 20 zilipoingia tu zikafowadiwa kulipia madeni kwenye hela alizokuwa akiikopesha simba.
Yanga tufokas kwrnye mambo yetu mambo ya simba tuwaa hie wao

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Fedha zilizopatikana baada ya kumuuza Tuisila Kisinda, hivi zimewekwa kwenye benki gani na akaunti gani? Ni vyema wananchi tukalifahamu hili pia
Kumbe kisinda alikuwa mchezaji was Yanga?
 
Fedha zilizopatikana baada ya kumuuza Tuisila Kisinda, hivi zimewekwa kwenye benki gani na akaunti gani? Ni vyema wananchi tukalifahamu hili pia
Anzisha Uzi wake,sisi tunahoji fedha za ponjoro kaweka akaunti ipi
 
Fedha zilizopatikana baada ya kumuuza Tuisila Kisinda, hivi zimewekwa kwenye benki gani na akaunti gani? Ni vyema wananchi tukalifahamu hili pia
Pesa za kisinda babu ndio zimenunua moloko na bangala,half yake ndio ile camp ya morocco
 
Back
Top Bottom