Mwenyekiti wa Simba SC, Saidi Mkwabi ajiuzulu

Mwenyekiti wa Simba SC, Saidi Mkwabi ajiuzulu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_2019-09-14-11-37-19~2.png
 
Asante, tunamtakia kila la heri kwenye shughuli zake, kwa upande wetu tunasonga mbele ..SimbaNguvuMoja
 
Club ina 51% na Mwekezaji ana 49%.
Barua anawaandikia bodi iliyo chini ya mwekezaji.

Kwa nini asiwaandikie wanachama waliomchagua? Wanachama ni club sio bodi.

Mo pulling the strings.
Bodi ina kazi gani? Na yeye ana nafasi gani ktk bodi...?
 
Aende tu akafanye mambo yake siku hizi pesa zinatoka kwa cheques
 
Club ina 51% na Mwekezaji ana 49%.
Barua anawaandikia bodi iliyo chini ya mwekezaji.

Kwa nini asiwaandikie wanachama waliomchagua? Wanachama ni club sio bodi.

Mo pulling the strings.
kumbe hadi vichaa wapo humu
 
Kweli Simba saizi ni Taasisi iliyo imara zaidi, ingekua kipindi hii habari tungekua tumeanza kuisikia muda kabla ya taarifa rasmi.
Hongera timu yangu simba.
 
Back
Top Bottom