OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani jiwe anacheo gani mbumbumbu fc?Bado jiwe tunataka ajiuzuru
Club ina 51% na Mwekezaji ana 49%.
Tatizo nahs litakua yule CEO mpya Msauzi mana viongozi wengi wazawa walilipinga hilo....
Bodi ina kazi gani? Na yeye ana nafasi gani ktk bodi...?Club ina 51% na Mwekezaji ana 49%.
Barua anawaandikia bodi iliyo chini ya mwekezaji.
Kwa nini asiwaandikie wanachama waliomchagua? Wanachama ni club sio bodi.
Mo pulling the strings.
Msauzi aende akaongoze huko kaizer chiefs,nafasi yake ichukuliwe na Mbongo.Tatizo nahs litakua yule CEO mpya Msauzi mana viongozi wengi wazawa walilipinga hilo....
Mkuú usiwe kiazi kiasi hiki...umembiwa katuma copy moj tu kwao?Club ina 51% na Mwekezaji ana 49%.
Barua anawaandikia bodi iliyo chini ya mwekezaji.
Kwa nini asiwaandikie wanachama waliomchagua? Wanachama ni club sio bodi.
Mo pulling the strings.
Hivi Simb tulikugongea demu wako nini?bora kaachana na hilo litimu libovu linaloburuzwa na MO
Hivi kilomoni ana press lini tena yanga wakamshangilie?Timu kilomoni ndo inaishia ishia hivyo.
kumbe hadi vichaa wapo humuClub ina 51% na Mwekezaji ana 49%.
Barua anawaandikia bodi iliyo chini ya mwekezaji.
Kwa nini asiwaandikie wanachama waliomchagua? Wanachama ni club sio bodi.
Mo pulling the strings.