Litimu la majizi na misheni town hilo, kila mtu ndani ya hilo litimu ni mjuaji
Hata kushuka nayo ni level nyingine. Jamaa kaona simba haiendani na kasi yake ya kupaa badala yake wanasukumizwa ndani na UD SongoAya mchukueni basi, simba level nyingine kama huwez kwenda na kasi we lala mbele tu.
Mkuu mbona kule upande wa pili kwenye timu isiyo na majizi wanashindwa kulipa wachezaji mishahara....inakuwaje majizi yanalipa na wasio majizi wanashindwa lipa??Litimu la majizi na misheni town hilo, kila mtu ndani ya hilo litimu ni mjuaji
kwani jiwe anacheo gani mbumbumbu fc?
Au kuna taaarifa unayotaka kuisikia.maelezo hayajitoshelezi na taarifa mnatoa kwa kinyongo flani hivi jiachieni tuelewe tatizo liko wapi
Hata yeye hakukubali kwa kuwa hakujuiJamaa sikuwahi kumkubali kabda na hata baada ya kuchaguliwa. Tena baada ya kuchagulia alikua miongoni mwa watu waliotaka kuirudisha Simba nyuma kwa kuwa upande wa kina Mzee Kilomoni waliotaka kuzusha mgogoro wa kulazimisha kuhusiana na uwekezaji wenye faida wa Mo Dewji
Mnalipiwa iko Siku mtalipiaMkuu mbona kule upande wa pili kwenye timu isiyo na majizi wanashindwa kulipa wachezaji mishahara....inakuwaje majizi yanalipa na wasio majizi wanashindwa lipa??
Kwa hiyo majizi yanatulipia...mbona nyie wasio wezi wanashindwa kuwalipiaMnalipiwa iko Siku mtalipia
I'm nobody kwa hiyo siyo tu kwamba hanijui bali wala hana sababu ya kunijua. Lakini yeye ni public figure, aliomba kugombea kua kiongozi wa timu yetu yenye mashabiki zaidi ya milioni tano hapa nchini. Kwahiyo sisi washabiki lazima tumjue na atushawishi kuwa kweli anauwezo wa kuunganisha timu kitu ambacho alikua anaelea kushindwaHata yeye hakukubali kwa kuwa hakujui
Ukipishana na tu na MO lazma uoneshwe mlango wa kutokeaClub ina 51% na Mwekezaji ana 49%.
Barua anawaandikia bodi iliyo chini ya mwekezaji.
Kwa nini asiwaandikie wanachama waliomchagua? Wanachama ni club sio bodi.
Mo pulling the strings.