Mwenyekiti wa Simba SC, Saidi Mkwabi ajiuzulu

Mwenyekiti wa Simba SC, Saidi Mkwabi ajiuzulu

Aya mchukueni basi, simba level nyingine kama huwez kwenda na kasi we lala mbele tu.
Hata kushuka nayo ni level nyingine. Jamaa kaona simba haiendani na kasi yake ya kupaa badala yake wanasukumizwa ndani na UD Songo
 
Litimu la majizi na misheni town hilo, kila mtu ndani ya hilo litimu ni mjuaji
Mkuu mbona kule upande wa pili kwenye timu isiyo na majizi wanashindwa kulipa wachezaji mishahara....inakuwaje majizi yanalipa na wasio majizi wanashindwa lipa??
 
maelezo hayajitoshelezi na taarifa mnatoa kwa kinyongo flani hivi jiachieni tuelewe tatizo liko wapi
Au kuna taaarifa unayotaka kuisikia.
Si wametoa sababu kua ameamua kusimama majukuku ya uenyekiti ili aweze kusimamia vizr biashara zake?
 
Jamaa sikuwahi kumkubali kabda na hata baada ya kuchaguliwa. Tena baada ya kuchagulia alikua miongoni mwa watu waliotaka kuirudisha Simba nyuma kwa kuwa upande wa kina Mzee Kilomoni waliotaka kuzusha mgogoro wa kulazimisha kuhusiana na uwekezaji wenye faida wa Mo Dewji
Hata yeye hakukubali kwa kuwa hakujui
 
Hata yeye hakukubali kwa kuwa hakujui
I'm nobody kwa hiyo siyo tu kwamba hanijui bali wala hana sababu ya kunijua. Lakini yeye ni public figure, aliomba kugombea kua kiongozi wa timu yetu yenye mashabiki zaidi ya milioni tano hapa nchini. Kwahiyo sisi washabiki lazima tumjue na atushawishi kuwa kweli anauwezo wa kuunganisha timu kitu ambacho alikua anaelea kushindwa
 
NIMEFURAHI ALIVO ACHIA NGAZI KWANZA AMECHELEWA SANA MTOBOA MTUMBWI
 
Club ina 51% na Mwekezaji ana 49%.
Barua anawaandikia bodi iliyo chini ya mwekezaji.

Kwa nini asiwaandikie wanachama waliomchagua? Wanachama ni club sio bodi.

Mo pulling the strings.
Ukipishana na tu na MO lazma uoneshwe mlango wa kutokea
 
Back
Top Bottom