Mwenyekiti wa tawi la ACT wazalendo Tandale pamoja na wanachama wote watangaza kujitoa katika chama hicho

Mwenyekiti wa tawi la ACT wazalendo Tandale pamoja na wanachama wote watangaza kujitoa katika chama hicho

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho

1645252858702.png

1645252876475.png

1645252893950.png
 
Wanajitoa wahamie wapi? Waunde chama chao ili wawe viongozi, simple as a e i o u.
 
Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho...
YAANI hao watu ukiwaangalia tu siyo wanasiasa ni kama wcheza vigodoro wa mitaani huko hapo bora ametoka ili sasa viongozi watafute wanachama halisi hayo hapo ni maigizo tu
 
Zitto ndio atajua maana ya kuongoza chama, alivyoukosa uenyekiti wa Chadema akapiga kelele ameonewa sasa ndio ashangae miaka zaidi ya mitano mbele bado hana uwezo wa kuongoza chama cha siasa.

Chadema hawakuwa wajinga, na hawajawahi kuwa wajinga, huyu mjuaji asipoangalia ACT inaenda kumfia mikononi abaki na kina Jussa licha ya kuachiwa mtaji mkubwa na maalim bado biashara inamfia.
 
Naona wameanza kuitikia wito wa prof lipumbafu..ACT tumbo joto wasio mpenda kaja.

All in all wote vibaraka wa kijana.

#MaendeleoHayanaChama
 
@zito kaka soma upepo mapema vuguvugu limeanzia visiwani sasa limefika bara.
 
eti kiongozi mkuu.....hachaguliwi anajitunga tu, kighadafi ghadafi.....inatakiwa uwe na mental issue kukubali ujinga huu
 
Back
Top Bottom