Mbege haijamtoka kichwani!Weka sawa heading mkuu.
NakaziaWanajitoa wahamie wapi? Waunde chama chao ili wawe viongozi, simple as a e i o u.
YAANI hao watu ukiwaangalia tu siyo wanasiasa ni kama wcheza vigodoro wa mitaani huko hapo bora ametoka ili sasa viongozi watafute wanachama halisi hayo hapo ni maigizo tuMwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho...
ACT na wao wananunuliwa?Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho.
View attachment 2123674
View attachment 2123675
View attachment 2123676
Watu wapo kujifanya chahwa,wakati chama kinapukutika na Bado subilini mpaka mwaka huu kuishaMwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho.
View attachment 2123674
View attachment 2123675
View attachment 2123676
Mbege haijamtoka kichwani!