Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa Vyombo vya Habari umeimarika kwa kiasi chake ambapo Magazeti yaliyokua yamefungiwa yamefunguliwa, adhabu na faini zimeondolewa au kulegezwa, hofu ya Waandishi wa Habari imepungua au kuondoka kabisa ispokuwa tunabaki na kisiki cha uchumi wa Vyombo vya Habari usiotabirika.