Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hilo halina ubishi Samia ameioponya nchiWakuu
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa Vyombo vya Habari umeimarika kwa kiasi chake ambapo Magazeti yaliyokua yamefungiwa yamefunguliwa, adhabu na faini zimeondolewa au kulegezwa, hofu ya Waandishi wa Habari imepungua au kuondoka kabisa ispokuwa tunabaki na kisiki cha uchumi wa Vyombo vya Habari usiotabirika.
Ameandaa kongomano la kumsifia maza wala hakuna la maanaChawa Balile kila mwezi kutuma sms za kuomba hela kwa Rais Samia
Yaani MATAPELI yaliyobobea, wachumia tumbo!!!Ukitoa Jamii forum kidogo Star TV ndiyo kuna waandishi wa habari, haya mengine yote ni matapeli tupu
Kwakuwa mwenyewe kasha chagua upande hata kama uhuru ni 0% lazima aseme ni 100%Ameandaa kongomano la kumsifia maza wala hakuna la maana
Maaingine anao upande,aliouchagua ama kwa uamuzi binsfsi ama kwa shinikizo ama kwa mahaba,au uchawa binafsi ama?Huyo jamaa anaboa Sana. Siku ile Lissu anaongea yeye anamkatiza.