Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Na kama sijakosea Judge Ramadhani amewahi kuwa msajili wa kanisa piaAnglican hii mbona ni kawaida? Jaji mkuu mstaafu Augustino Ramadhan alipewa daraja la upadre.
Na siku zote masikini ndio wanaanguka na mapepo. Hizi dini za manabii zina walakiniKwenye dini yetu hii...ukiwa na pesa au cheo..unakuwa mtakatifu automatically.
Masikini jitafakarini...
Je, atakuwa upande wa matakwa ya Mungu ambayo ni haki au matakwa ya CCM ambayo ni dhuluma?Miezi kadhaa iliyopita Rais wa JMT alimteua George Nathanael Mandepo kuwa mwenyekiti wa tume ya kurekebisha sheria. Leo tarehe 25 January baba Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania dayosisi ya Dar es salaam Rev Jackson Sosthenes Jackson amemuweka Wakfu Adv Mandepo kuwa Shemasi (mchungaji)
Mamdepo ambaye ndiye msajili wa kanisa Anglikana Tanzania ananingia katika historia ya kuwa msajil na pia mchungaji.
Hongera sana Rev Adv George Mandepo
Ahsante mkuu. Ni katibu mtendajiHivi ni Mwenyekiti au Katibu wa Tume.......@Msitari wa pambizo
Hizi akili huwa mnazipata wapi lkn mbona inaonekana kabisa mna IQ ndogo sana. Hivi na nyie kuna watu wanapata muda wanawasikiliza kabisaKwenye dini yetu hii...ukiwa na pesa au cheo..unakuwa mtakatifu automatically.
Masikini jitafakarini...
Ndiyo. Ni daraja katika uchungaji.Hivi shemasi ndio mchungaji??
Kwenye kanisa kuna Ley Canon na Rev Canon.Hata prof Kabudi ni Canon wa kanisa Anglican na alipewa wadhifa huo alipokuwa msajili wa kanisa miaka ya nyuma.
Ila huwa kuna course chache za kiutumishi unapitia kidogo ili uwe na maarifa mtambuka ya kihuduma kabla ya kutunukiwa daraja flani la kichungaji.
Hata dini ya Anglikana yenyewe huijui mkuu. Nimeona ulivyomalizia nikajua hata dhehebu linalozungumziwa hulijui kabisaNa siku zote masikini ndio wanaanguka na mapepo. Hizi dini za manabii zina walakini
Mandepo ahakikishe sheria za nchi zinakuwa zenye haki na katiba mpya inapatikana mapema la sivyo ni dhambi na kufuru tupu kwa yeye kuwa shemasi.Miezi kadhaa iliyopita Rais wa JMT alimteua George Nathanael Mandepo kuwa Katibu mtendaji wa tume ya kurekebisha sheria. Leo tarehe 25 January baba Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania dayosisi ya Dar es salaam Rev Jackson Sosthenes Jackson amemuweka Wakfu Adv Mandepo kuwa Shemasi (mchungaji)
Mamdepo ambaye ndiye msajili wa kanisa Anglikana Tanzania ananingia katika historia ya kuwa msajil na pia mchungaji.
Hongera sana Rev Adv George Mandepo