PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida: Sio kila anayepotea, katekwa na vyombo vya dola!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!

================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola.

"Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na lazima mantiki hii tuiondoe na nitoe wito kwa Vyombo vya ulinzi na usalama kutafuta ukweli wa mtu ameenda wapi, amepotelea wapi na wanapopata hizi taarifa wasikae nazo kama vyombo vya dola,

Umma unatamani kujua nini kilichotokea kwa mtu husika kwasababu kuna watu wanatumia hii kama fursa, wapo watu wana magomvi yao, akimuua mwenzake anasema kauliwa na dola - Hapana, sio kila aliyepotea amepotezwa na Vyombo vya dola."

kumbe wanapenda muda wote watu kuongelea utekaji! sio kitu cha kujivunia hata kidogo!
mie nasema asje akakanyaga mtu kwangu! Dunia itajua shughuli yake
 
20250313_004818.jpg
 
Ila

ila wapo wanaopotea kwa kutekwa na vyombo vya dola?
 
Anaposema diyo kila mtu akipotea ana tekwa na vyombo vya dola anamaanisha kuwa wapo wanaotekwa na vyombo vya dola. At least kila moja wetu anakubaliana.
 
Mnaona Mungu alivyo Mkuu, wenyewe wanasema Serikali huwa inateka watu. Kingine mbona watu wa hilo lichama huwa hawajulikani ni vijana au wazee.
 
kumbe wanapenda muda wote watu kuongelea utekaji! sio kitu cha kujivunia hata kidogo!
mie nasema asje akakanyaga mtu kwangu! Dunia itajua shughuli yake
Jambo la kitaifa usiligeuze la binafsi kudili nalo mkuu.

Kusema dunia itajua, kweli itajua umekufa na siyo dunia ni Tz na siyo Tz ni mkoa na siyo mkoa ni kijiji na siyo kijiji kizima ni Nzengo(jamii iliyokuzunguka)tu!

Kusema utashindana nao hata kwa kurusha ngumi huwezi.

Wakikuvamia ukasema 'toeni vitambulisho', wanatoa na kuvishuhudia kuwa ni vya idara ya Polisi.

Ama wanakuuliza: 'unataka kuwafundisha kazi huku ukizabuliwa kibao mbele ya mkeo kukulegeza.'

Kama kuna mazingira ya raia kuzagaa maeneo hayo kushangaa kinachoendelea na mkadai mpaka awepo balozi ama mwenyekiti, atafuatwa na watajitambulisha dhahiri kuwa wao ni Polisi wamekufuata kwa tuhuma watakazozitaja.

Balozi hana mandate ya kuwazuia Polisi, utakwenda, ukishaondoka ndo'kantolee na hakuna mtu nyuma yako atakayesema 'fyokoo'.

Wakija kihuni ukawadhuru, baadaye watajitambulisha kuwa wao ni Polisi na ulikuwa umewazuia kufanya kazi zao(rejea sakata la Zakaria wa Tarime
aliyepambana nao na kuwapiga risasi walipoenda kumteka).

Jambo hili ni la kitaifa, tusimame pamoja kama wananchi kwa umoja wetu tupigie kekele na kukataa wazi wazi ubazazi huu unaofanywa na Serikali.

Mtu mmoja peke yako hauwezi kusimama na kudai unauwezo wa kupinga kubebwa, hauna uwezo huo, utabebwa na kwenda kufanywa chochote na hakuna atakayefanya lolote.
 
Wakuu,

Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!

================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola.

"Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na lazima mantiki hii tuiondoe na nitoe wito kwa Vyombo vya ulinzi na usalama kutafuta ukweli wa mtu ameenda wapi, amepotelea wapi na wanapopata hizi taarifa wasikae nazo kama vyombo vya dola,

Umma unatamani kujua nini kilichotokea kwa mtu husika kwasababu kuna watu wanatumia hii kama fursa, wapo watu wana magomvi yao, akimuua mwenzake anasema kauliwa na dola - Hapana, sio kila aliyepotea amepotezwa na Vyombo vya dola."

Hao watu 80 wote wametekwa na watu wasiojulikana na ambao hujitambulisha polisi,wewe na Sativa nani mwenye ushahidi kamili?
Msilete upuuzi kwenye maisha ya watu
 
Wakuu,

Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea!

================================================
Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola.

"Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na lazima mantiki hii tuiondoe na nitoe wito kwa Vyombo vya ulinzi na usalama kutafuta ukweli wa mtu ameenda wapi, amepotelea wapi na wanapopata hizi taarifa wasikae nazo kama vyombo vya dola,

Umma unatamani kujua nini kilichotokea kwa mtu husika kwasababu kuna watu wanatumia hii kama fursa, wapo watu wana magomvi yao, akimuua mwenzake anasema kauliwa na dola - Hapana, sio kila aliyepotea amepotezwa na Vyombo vya dola."

So ni kweli vyombo vya dola huteka ila si kila...
 
Wanaopotea ni wale wa upinzani pekee...
 
Kweli
Serikali ikikuhutaji inakukamata wala hawana haja ya kukuteka. Hawa wanaotekwa,
Wapo wanaotekwa na watu wao wa karibu
Wapo wanaotekwa na washirika wao
Wapo wanaotekwa na Vibaka

Serikali ina mambo mengi ya kufanya ikiwa ni pamoja na kuzuia utekaji na kushughulikia watekanji na sio kuteka watu
 
Back
Top Bottom